Mwanaume na mwanamke nani zaidi?

Kontelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
571
Reaction score
161
Habari zenu mabibi na mabwana,

Nimekuwa nikijiuliza hili swali kwa muda mrefu nimekosa jibu. Hivi kati ya mwanamke na mwanaume ni nani anaeweza kustahimili kukaa mda mrefu bila kufanya mapenzi?

Hii inawahusu wale ambao tayari wameshayajua au wameshaanza mahusiano ya mapenzi.

Naombeni mawazo yenu na uelewa wenu hata wa kitaalam.
 
kama condition zikiwa sawa kwa wote basi mwanamke anaweza zaidi.
 
Tafiti ya hili kuwa mwanamke anaweza kuliko man inatoka wapi wekeni tafiti hapa acheni stori za vijiwe vya kahawa
 
Fafanua mda mrefu unaanzia kipindi cha mwaka au mwezi taja idadi ya siku...

NB: soma vizuri signature yangu kwa umakini utaelewa vizuri
 
mbona huwa huwezi kwangu. unaniomba mara 3 kwa week. teh teh

Mmmmmm.yo mistaken big time.unatiaga huruma sana inabidi tuu nijidai nahitaji....kumbe walaaa 😱😱
 
Mmmmmm.yo mistaken big time.unatiaga huruma sana inabidi tuu nijidai nahitaji....kumbe walaaa 

mmmmh mke... you are trying to blind the audience. wewe ndo unatakaga sana, mpaka ukaamua kunisainisha ratiba ya mara 3 kwa week. nikikubaniaga week mbili tu unahaha mpaka naogopa kumegewa. lol
 
Inategemea na mihemko ya mtu na shughuli zake za kila siku.. Lakini ukumbuke pia wanaume tunaenda NYEGEZI mapema zaidi kuliko wanawake..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…