Huyo mkeo hakueshimu mpaka anakuwakia hivyo? mimi ninavyoelewa mkishaoana mnakuwa wamoja sasa mwenzetu privacy inatoka wapi? Privacy huja kwa maelewano na maridhiano lakini sio yakuwa amriwa tena na mkeo aliyepashwa kukuheshimu mbali ya hapo ukiangalia mazingira ya tukio sio ya kuwa ulikuwa unampekua lakini lilikuwa suala la urgency.
Ni vizuri kukaa na mkeo mpendwa na kumuonya juu ya tabia yake, kwani kaonyesha kujishuku as if kuna kitu anaficha............its better you find out what it is.
Umeoa au umeolewa....?????
swali kuntu sana hili hahaahahahahaah kaolewa mwenzenu hahhahaUmeoa au umeolewa....?????
nimeshakupendea huku kwene comment.Huyo mkeo hakueshimu mpaka anakuwakia hivyo? mimi ninavyoelewa mkishaoana mnakuwa wamoja sasa mwenzetu privacy inatoka wapi? Privacy huja kwa maelewano na maridhiano lakini sio yakuwa amriwa tena na mkeo aliyepashwa kukuheshimu mbali ya hapo ukiangalia mazingira ya tukio sio ya kuwa ulikuwa unampekua lakini lilikuwa suala la urgency.
Ni vizuri kukaa na mkeo mpendwa na kumuonya juu ya tabia yake, kwani kaonyesha kujishuku as if kuna kitu anaficha............its better you find out what it is.
Sisi wanawake ni selfish sana sana ,mfano rahisi utakuta wote mnafanya kazi ila hela itakayotumika ni ya mume tuuu kwa kila kitu home ya kwako niyakuvaa tu soooo selfish .huyo dada ana jambo la ziada lakukuambia juu ya kauli yake .mimilait ningezaliwa mwanaume nsingeruhusu kuchezewa namna hiyo muna thamani kubwa sie viumbe dhaifu na wadogo sana kwenu.mwite kwa sauti mwambie kaa pale explain kila neno ulilolitoa siku ile alaaah unammezea mate ya nini hataki mwambie akapumzike kwao.na at last usipumbazike kingono akiri hayo maneno yake .mwanaume bila udicteta haya matoto ya kike hayaendi,,ni bora kufuga mabata 10 kuliko mwanamke 1.huwa namwambia mume wangu mwanaume lazima uongee kwa sauti ijulikane nibaba ameongea la sivyo hata watoto watakupanda kichwani!!we bana bana pua atakuaibihs hivohivo mbele za watu.