Mwanaume mwenzangu usioe mwanamke aliyekuzidi uchumi/Hela utanyanyasika na kufa mapema

Akili mbona ni wazi, ni nikutoe kukariri kuwa ni heri kukosa pesa lakini sio akili hiyo mwanadamu yoyote hiyo kauli mbona ipo wazi lakini angalia ulivyoitumia ni namna gani wanawake mnajidharau kwamba nyie hata msipo kuwa na akili maisha yanaenda tu ohhhh kumbe,sasa mpo kwenye karne mwananke lazima nae atumie akili ili aishi sio uzuri/urembo tu ... Kuwaza nje ya box nyie watu mnashida sana hata jinsi mnavyojibu hizi hoja kuna mahala mnashida sana

Imebidi nicheke kwanza, hebu soma tena uoichoandika.
 
Mnajidharau wenye kama nani alisema wanawake wote hamna akili....ila mnatofautiana levels kama kwa wanaume tu vivyo hivyo
Kwahiyo wanaume wote hamna akili ila mnatofautiana tu levels?
 
Hapo kwenye kusaidiwa majukumu ndio wamegoma kukubali,but ukweli usemwe amlipaye mpiga zumari ndio huchagua Aina ya nyimbo gani ipigwe,walisema waswahili.Maana ya hii kauli ni kuwa mwenye nguvu ndiye mwenye sauti na mamlaka.Huoni hata prezidaa wetu daily anasema sipangiwi,hawajiulizi ni kwanini?it's simple ni suala la uwezo,mamlaka,power na kuwa the final say.

Katika dunia ya sasa huwezi tenganisha kutengamaa kwa taasisi ya ndoa na uwezo wa kiuchumi wa mwanaume.Ukikomaa na siasa za kale za wazee wetu utaumia,kwani nao waliweza kutawala na kuonekana nafasi zao ndani ya familia kama baba na viongozi kwakuwa wengi walikuwa wanajiweza,iwe ni kuwa na ardhi kubwa,mifugo mingi,dhahabu za kutosha nk.

Mfano mswati tu anaweza oa Kila mwaka kutokana na uwezo alionao,kinyume chake hakuna family ingeruhusu binti mdogo bikra aolewe na mtu mzima asiye na chochote.Inshort mkono mtupu haulambwi.
Yaani nashangaa wanachoshindwa kuelewa sijui ni kipi haswa
 
Mnajidharau wenye kama nani alisema wanawake wote hamna akili....ila mnatofautiana levels kama kwa wanaume tu vivyo hivyo
Kuna wanaume wenzio wengi tu wanasema kuwa hakuna mwanamke anayenzidi mwanaume akili duniani
 
Hakuna mwanaume mwenye akili hiyo hata angekua nani hata YESU mwenyewe asingeweza, unajua kumuhudumia mwanamke inaambatana na love sasa wewe unidharau,unichiti nk halafu what do you expect.....aiseehh Edelyn umeanza kupoteza dira ya mjadala hebu uliza vya msingi
Sasa mbona wanaume wakifanya makosa hayo hayo wanataka wake zao waendelee kuwapenda na kuwahudumia? Kumbe mnajua kwamba mapenzi na huduma vinakuja na uaminufu na upole?

Ila siku hizi utasikia wanawake wanaambiwa eti wafanye tu bila kutarajia malipo au fadhila kutoka kwa waume zao sasa ninyi wenyewe wanaume mbona hamuwezi kufanya hivyo? Ndo mtuelewe na sisi wanawake basi
 
Nakubaliana na wewe 100%. Ni kweli wapo wanaowatii waume wao hata wakiwa na pesa ila ni wachache sana. Mimi nina mfano hai kabisa.
1. Mwanamke akikuzidi pesa, huwa haoni shida hata kuvunja mahusiano. Unaweza kumfungulia biashara lakini ukimuomba hata 10,000 anaweza kukunyima
2. Ukimsomesha mwanamke chuoni halafu wewe unadiploma, na akimaliza anadegree. Hapo ujue ushampoteza
N.B
Mwanamke 100% hupenda kuolewa na mtu anayemzidi pesa na elimu. Mfano mzuri tembelea love connect uone nyuzi za wanawake wenye degree ambao wanatafuta mchumba au mume. Angalia kigezo cha elimu kama utakuta kuanzia diploma kushuka chini.
Wanawake waone hivi hivi humu lakini ukija kwenye uhalisia. Ni wepesi sana kusahau fadhila
Point namba 1 imenikuta mkuu,nimeamua kuchukua maamuzi magumu na Mimi basi kila mmoja aendelee na maisha yake watoto watalelewa hivyo hivyo
 
Nikupe mfano hai,ofisi nifanyayo kazi asilimia kubwa ni wanaume.Almost asilimia 80 wameoa,ni wasomi wazuri,wana vipato vizuri,wengine wana vyeo vikubwa tu ofisini,ila wote hao wake zao wameishia la saba,kama kuna aliyesoma sana basi form 4 tena felia.Wanasema wanaogopa kuoa wanawake wasomi wenzao watawasumbua,ila kutwa kuchwa wanachepuka na hao wasomi wenzao,hadi wengine wamezaa nje.

Ila ukiwaona wake zao utastaajabu,huwezi dhania wanaweza kuwa wake wa maboss,kuanzia kimuonekano kwa maana hata kuwapendezesha tu wanahofu na wote ni mama wa nyumbani.So kwa mwanaume ili ndoa idumu na umkontroo mke,lazima umzidi tu kwa kila hali.

Hakuna kitu kinamnyima mwanaume kukujiamini kama kuzidiwa au kuwa level moja na mwanamke. Na ni ngumu mno kuishi na mwanaume wa aina hii, maana kila jambo atakuwa anaona unafanya kwakuwa umemzidi kitu fulani, wana inferiority za ajabu sana.

Hivyo akishajiona hatoshi kwenye nafasi hiyo anaona ni bora awe na mwanamke alie chini yake kwa karibia kila kitu, hii inamfanya ajione mwanaume. Ila mwanamke ajiandae kisaikolojia.
 
Mkuu hongera sana huyu mwanamke anajielewa sana sana....vipi wivu hana wivu hakujibu vibaya ukiwa na familia kama anakujali katoa nasadaka maana hakunaga wanawake wa hivi tena
Wakati ule alipochukua ATM card yake kwangu, nadhani ndio kiburi kilitaka kupanda utosini. Lakini mi nikajishusha kiaina nikaanza kutumia njia nyingine....
Baada ya kudhibiti pato kijanja ndio ameanza kuwa na wivu
 
Hakuna kitu kinamnyima mwanaume kutokujiamini kama kuzidiwa au kuwa level moja na mwanamke. Na ni ngumu mno kuishi na mwanaume wa aina hii, maana kila jambo atakuwa anaona unafanya kwakuwa umemzidi kitu fulani, wana inferiority za ajabu sana.
Hivyo akishajiona hatoshi kwenye nafasi hiyo anaona ni bora awe na mwanamke alie chini yake kwa karibia kila kitu, hii inamfanya ajione mwanaume. Ila mwanamke ajiandae kisaikolojia.
Inawezekana wewe ni miongoni mwa wanawake ambao wanawaheshimu waume zao. Usemayo ni kweli lakini tukija kwa wengine ya jinsia yako hali ni tofauti. Nina mfano hai kabisa. Hongera yako lakini haimanishi ni wote.
1. Mwanamke akikuzidi pesa akakuheshimu basi huyo ni mcha Mungu au amelelewa katika malezi na ana maadili mema. Mwanamke ambaye hajawahi kushika pesa akianza kushika pesa, huwa anaona kama mahusiano kwake hayana nafasi tena na huwa hana hofu ya uhusiano kuvunjika yaani pesa anaona ndiyo kila kitu kwake. Ni bora umuoe tayari anakuzidi pesa kuliko pesa azipate kwenye ndoa. Aisee kama hamjui Mungu au hana maadili mema utapata tabu sana.
2. Mwanamke kiasili hupenda kuolewa na mwanaume anayemzidi pesa, mali na elimu. Kama ni mwanaume una elimu ya darasa la 7, form 4, form 6 au Diploma halafu unamsomesha mwanamke ambaye akimaliza elimu yake anakuwa ana degree. Basi huyo hesabu umeshampoteza. Ingia jukwaa la Love connect angalia nyuzi za wadada ambao wana diploma au degree wanatafuta wachumba uone, wengine wanataka mpaka mtu anayejua kiingereza na wenye upendo wa dhati (Unaweza kumjua mtu mwenye upendo wa dhati kwa kumuona mara ya kwanza?). Sisi wanaume hata kama una degree au Masters unaweza kuoa hata wa darasa la 7.
N.B
Inawezekana wewe ni mwanamke mwenye maadili mema na una mcha Mungu na unamheshimu mumeo japo umemzidi kipato lakini haimanishi ndiyo kwa wanawake wote. Baadhi ya wanawake wa sasa (utasema umekutana na hao wanawake ndiyo ni wanawake kama wewe) ni washindani na wanavisasi. Usipomridhisha anawaza kutoka nje na hawezi kukuambia na hana hofu kabisa, ukichepuka na yeye anachepuka, mpaka inafika muda anataka kukutawala.
Kama ulikuwa na kazi halafu ukafukuzwa au biashara zako zikayumba mwanamke lazima abadilike ndiyo maana huwa hatutaki mwanamke atuzidi pesa maana hata ukimtuma maji ya kunywa hawezi kwenda.
Shida inapokuja pale unapompenda mwanamke kwa dhati (Sisi wanaume tukimpenda mwanamke kwa dhati huwa hatuna tofauti na mwanaume aliyewekewa limbwata). Hapa unaficha madhaifu yake, atakuomba kadi ya benk utampa n.k lakini yeye anakuchukulia kama ni boya fulani.
 
Well kuhusu mabadiliko baada ya kushika pesa hii ni hulka ya kila binadamu, angalia wanaume walosota na wake zao kutoka chini na walipozipata walivyowabadilikia wake zao.

Kiasili mwanaume unapaswa uwe juu ya mwanamke, rejea kwa Adam alikuwa na kila kitu isipokuwa mwanamke tu.
Hivyo hizo lawama wala hampaswi kutulaumu ikitokea tumewatenda hivyo maana ni nature. Pia imeandikwa ni fedheha kwa mwanaume kulishwa na mkewe.

Yawezekana mkeo akawa anakuheshimu, lakini kwakuwa amekuzidi basi wewe upo kwa kujistukia na kuhesabu faults zake tu. Hivyo lolote afanyalo kwako lazima uliwazie tofauti.
 
Hakuna kitu kinamnyima mwanaume kutokujiamini kama kuzidiwa au kuwa level moja na mwanamke. Na ni ngumu mno kuishi na mwanaume wa aina hii, maana kila jambo atakuwa anaona unafanya kwakuwa umemzidi kitu fulani, wana inferiority za ajabu sana.
Hivyo akishajiona hatoshi kwenye nafasi hiyo anaona ni bora awe na mwanamke alie chini yake kwa karibia kila kitu, hii inamfanya ajione mwanaume. Ila mwanamke ajiandae kisaikolojia.
Kuwa mwanamke mwema na kumthamini mumeo hata kama unamzidi kipato haimanishi na wengine wako kama wewe. Usigeneralize mambo ni sawa na wewe unaenda kanisani na unaimba kwaya basi na wanawake wengine wanafanya kama wewe.
Kuna rafiki yangu ni fundi ujenzi anamheshimu sana mkewe, jamaa ni mpole japo na yeye ana madhaifu yake lakini cha kushangaza wakikosana na mkewe. Mkewe hamfulii jamaa nguo na wala hampikii chakula. Jamaa anaingia jikoni anapika na nguo zake anafua. Utasema anamdekeza. Hivi kuishi na mwanamke lazima uwe mkali, unampiga ngumi na mateke, unamtukana n.k ndiyo akuheshimu?
 
Nikupe mfano hai,ofisi nifanyayo kazi asilimia kubwa ni wanaume.Almost asilimia 80 wameoa,ni wasomi wazuri,wana vipato vizuri,wengine wana vyeo vikubwa tu ofisini,ila wote hao wake zao wameishia la saba,kama kuna aliyesoma sana basi form 4 tena felia.Wanasema wanaogopa kuoa wanawake wasomi wenzao watawasumbua,ila kutwa kuchwa wanachepuka na hao wasomi wenzao,hadi wengine wamezaa nje.

Ila ukiwaona wake zao utastaajabu,huwezi dhania wanaweza kuwa wake wa maboss,kuanzia kimuonekano kwa maana hata kuwapendezesha tu wanahofu na wote ni mama wa nyumbani.So kwa mwanaume ili ndoa idumu na umkontroo mke,lazima umzidi tu kwa kila hali.
Aisee hio ofisi si mchezo! Sasa ulitegemea wakiamua kuchepuka wachepuke na kama waliemuacha nyumbani? Ukiamua kula nguruwe unakula alienona hasa!
 
asili itabak kama ilivyo,mwanamke atabak ktk asil yake hata awe kiongiz wa nchi I mean atabak chin ya mwanaume.Ukiona mwanaume ananyanyaswa na mwanamke mwenye hizo power za uchumi,cheo n.k. kubali kataa huyo mwanume atakuwa na matatzo ya kialil e.g. zuzu,mtu aliyeish sana kwa kujitenga na watu na mambo mengne yanayofanana na hayo.Ukifatia wanawake wa aina hyo wanadate na mahouse boy,wazoa taka,wapakaj rang za kucha,au wale watu wanaofanya Kaz za day-worker ambao hao wanaume hujihis bahat kuwa na hao wanawake,pia ukifatilia hilo kundi nliloliorodhesha hapo asilimia kubwa wanakuwaga na matatzo ya ubongo sasa kwanin wasinyanyaswe
CONCLUSION; Mwanaume aliyekamilika kiakil hawez kutawaliwa na mwanamke
Asanteee, waambie. Hamna mwanamke anaweza kumtawala mwanaume kamili hata awe na Nini . Mambo mengi huwa hamjiamin tu
 
Well kuhusu mabadiliko baada ya kushika pesa hii ni hulka ya kila binadamu, angalia wanaume walosota na wake zao kutoka chini na walipozipata walivyowabadilikia wake zao.
Kiasili mwanaume unapaswa uwe juu ya mwanamke, rejea kwa Adam alikuwa na kila kitu isipokuwa mwanamke tu.
Hivyo hizo lawama wala hampaswi kutulaumu ikitokea tumewatenda hivyo maana ni nature. Pia imeandikwa ni fedheha kwa mwanaume kulishwa na mkewe.
Yawezekana mkeo akawa anakuheshimu, lakini kwakuwa amekuzidi basi wewe upo kwa kujistukia na kuhesabu faults zake tu. Hivyo lolote afanyalo kwako lazima uliwazie tofauti.
"Umesema kiasili mwanaume anapaswa uwe juu ya mwanamke" ina maanisha kipesa, mali na elimu ndiyo maana huwa tunaogopa sana mwanamke akituzidi pesa, mali na elimu maana tumeambiwa tuwe juu ya mwanamke.
"Pia imeandikwa ni fedheha kwa mwanaume kulishwa na mkewe "Kuna wakati mambo yanaenda kombo kazi umefukuzwa au biashara imekata na hapo hauna hata mia mkewe ni mwalimu au ni mfanyabiashara. Je, haurusiwi kula chakula cha mkeo kisa ni fedheha kulishwa na mwanamke?
 
"Umesema kiasili mwanaume anapaswa uwe juu ya mwanamke" ina maanisha kipesa, mali na elimu ndiyo maana huwa tunaogopa sana mwanamke akituzidi pesa, mali na elimu maana tumeambiwa tuwe juu ya mwanamke.
"Pia imeandikwa ni fedheha kwa mwanaume kulishwa na mkewe "Kuna wakati mambo yanaenda kombo kazi umefukuzwa au biashara imekata na hapo hauna hata mia mkeo ni mwalimu au ni mfanyabiashara. Je, haurusiwi kula chakula cha mkeo kisa ni fedheha kulishwa na mwanamke?
Akili kumkichwa.
 
Back
Top Bottom