Uzi ufungweHakuna formula maalumu ya kuishi na mwanamke maana KILA mmoja huja na tabia zake na pili binadamu hana tabia moja ubadilika badilika
Kwa kuongezea mwanaume inabidi awe mwanaume kwa kuwa na upeo mpana na kuelewa namna ya kuendesha maisha yake kuyafanya yawe "a successful enterprise"Kila kukicha kumekuwa na matukio tofauti tofauti wengine wanauana wanatuongezea mzigo wa tozo [emoji16]na wengine wanapeana vilema vya maisha kisa tu wivu wa mapenzi!
Mwanaume kamili inabidi ujiandae kisaikologia kuishi na Mwanamke ile usije ukaleta maafa baadae!inabidi ujue haya.
1:Kosa namba moja katika maisha usije ukawekeza kila kitu kwenye maisha ya Mwanamke either muda ama pesa jifunze kuwa na kiasi!
2:Usije ukajitoa ufahamu eti kwamba ni wako peke yako hiyo kitu hakuna hata kama umemkuta bikra
3:Wekeza sana muda wako kutafuta pesa na kufanya vitu unavyopenda tofauti kabisa na kuweka furaha yako kwa Mwanamke!
4:Weka akili kwamba ipo siku yeyote atakuacha aende zake kama alivyowaacha wengine na kuja kwako !
5:Mwambie Mwanamke ukweli kwa asilimia 25 kati ya 100 ambao hautakuletea madhara baadae!
Kwa leo ni hayo tu wengine watajazia nyama!
Uko sahihi pia jombaa, ilaHakuna formula maalumu ya kuishi na mwanamke maana KILA mmoja huja na tabia zake na pili binadamu hana tabia moja ubadilika badilika
Kila kukicha kumekuwa na matukio tofauti tofauti wengine wanauana wanatuongezea mzigo wa tozo [emoji16]na wengine wanapeana vilema vya maisha kisa tu wivu wa mapenzi!
Mwanaume kamili inabidi ujiandae kisaikologia kuishi na Mwanamke ile usije ukaleta maafa baadae!inabidi ujue haya.
1:Kosa namba moja katika maisha usije ukawekeza kila kitu kwenye maisha ya Mwanamke either muda ama pesa jifunze kuwa na kiasi!
2:Usije ukajitoa ufahamu eti kwamba ni wako peke yako hiyo kitu hakuna hata kama umemkuta bikra
3:Wekeza sana muda wako kutafuta pesa na kufanya vitu unavyopenda tofauti kabisa na kuweka furaha yako kwa Mwanamke!
4:Weka akili kwamba ipo siku yeyote atakuacha aende zake kama alivyowaacha wengine na kuja kwako !
5:Mwambie Mwanamke ukweli kwa asilimia 25 kati ya 100 ambao hautakuletea madhara baadae!
Kwa leo ni hayo tu wengine watajazia nyama!
Tatizo mnoa mkiwa na moto wa nyege, kwenye ndoa nyege uisha yanabakia mazoea na heshima
Ndoa inataka akili kama huna akili usiingie kwenye ndoa
Unaoa kisa chuchu msumari keshakuletea watoto zimekua ndala unaanza kuwaza mchepukoMtu anaoa mauno au t@ko halafu anataka liwe mke
Ngumu sana
Tatizo watu mnataka kuishi na mtu kimwili na kiroho. Kama tabia zake zimebadilika ishi nae kimwili. Wakati mwingine mchukulie kama bado anakua akikua ataacha. Ishi maisha ya kupotezea mambo mengine na sio KILA kitu kiende utakavyo wewe hapo ni lazima crash itokee
T@ko nalo lina nafasi yake jamani... lisipuuzwe 😄Mtu anaoa mauno au t@ko halafu anataka liwe mke
Ngumu sana
Unaoa kisa chuchu msumari keshakuletea watoto zimekua ndala unaanza kuwaza mchepuko
Aaah labda ndala kupigwa jeki.Chuchumsumari hata Mimi mwenye nimenyonyesha njemba sita naweza zitengeneza
Ila tabia sasa👋