Heart JF-Expert Member Joined Nov 29, 2011 Posts 2,673 Reaction score 1,712 Aug 7, 2014 #21 Sio kweli kabisaa.... Mwanamke anamkumbuka Mwanaume aliyewahi kumkuna vizuri so sio lazima awe wa kwanza.
Sio kweli kabisaa.... Mwanamke anamkumbuka Mwanaume aliyewahi kumkuna vizuri so sio lazima awe wa kwanza.
Wiyelelee JF-Expert Member Joined Nov 9, 2012 Posts 1,071 Reaction score 348 Aug 7, 2014 #23 Mi hapa sitachangia maana nina uzoefu mkubwa sana na mambo haya, ila nshaokoka na sipendi kujiingiza katika mijadala hii.
Mi hapa sitachangia maana nina uzoefu mkubwa sana na mambo haya, ila nshaokoka na sipendi kujiingiza katika mijadala hii.
Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,754 Aug 7, 2014 #24 tumboo said: Nani wakunioa??? Na ulishanitia nuksi Click to expand... hahahha
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 Aug 7, 2014 #25 Jogoo10 said: Kabla sijawasilisha mada hii kwenu nilifanya utafiti wakina, niliwahoji akina dada na wamama na wabibi, asilimia 98 walisema ndio. Click to expand... idadi yao tafadhali, pia umri na shughuli wazifanyazo hao wamama na wadada....!
Jogoo10 said: Kabla sijawasilisha mada hii kwenu nilifanya utafiti wakina, niliwahoji akina dada na wamama na wabibi, asilimia 98 walisema ndio. Click to expand... idadi yao tafadhali, pia umri na shughuli wazifanyazo hao wamama na wadada....!
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,273 Reaction score 96,437 Aug 7, 2014 #26 miss neddy said: hahahha Click to expand... Natamani kumjua aliyekubikiri nimzawadie majogoo matatu.
muima JF-Expert Member Joined Jul 30, 2014 Posts 276 Reaction score 66 Aug 7, 2014 #27 kilambalambila said: mbona unaweza kupenda binti hata ukiwa wa sita na asikusahau kamwe? Inategemea na mahusiano yenu yalikuwaje na ulikuwa na impact gani kwake hasa Click to expand... Uko sahihi mkuu,kuna ----- nimezaa nae ckumbuki hata sura yake na ctaki hata kumuona.
kilambalambila said: mbona unaweza kupenda binti hata ukiwa wa sita na asikusahau kamwe? Inategemea na mahusiano yenu yalikuwaje na ulikuwa na impact gani kwake hasa Click to expand... Uko sahihi mkuu,kuna ----- nimezaa nae ckumbuki hata sura yake na ctaki hata kumuona.
Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,754 Aug 7, 2014 #28 Asprin said: Natamani kumjua aliyekubikiri nimzawadie majogoo matatu. Click to expand... alishachukuliwa na mafuriko yale ya juzi kati lol
Asprin said: Natamani kumjua aliyekubikiri nimzawadie majogoo matatu. Click to expand... alishachukuliwa na mafuriko yale ya juzi kati lol
Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,754 Aug 7, 2014 #29 muima said: Uko sahihi mkuu,kuna ----- nimezaa nae ckumbuki hata sura yake na ctaki hata kumuona. Click to expand... mtoto je
muima said: Uko sahihi mkuu,kuna ----- nimezaa nae ckumbuki hata sura yake na ctaki hata kumuona. Click to expand... mtoto je
little hulk JF-Expert Member Joined Jun 20, 2014 Posts 1,610 Reaction score 558 Aug 7, 2014 #30 labda kina romeo na juliet..... lakini wengine wakishaanza maisha mapya asilimia kubwa hawana muda wa kuwaza alikotoka
labda kina romeo na juliet..... lakini wengine wakishaanza maisha mapya asilimia kubwa hawana muda wa kuwaza alikotoka
muima JF-Expert Member Joined Jul 30, 2014 Posts 276 Reaction score 66 Aug 7, 2014 #31 miss neddy said: mtoto je Click to expand... Niko nae tunafanya yetu.
Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,754 Aug 7, 2014 #32 muima said: Niko nae tunafanya yetu. Click to expand... ipo utaamuhitaji baba yake kwa ustawi wa mtoto
muima said: Niko nae tunafanya yetu. Click to expand... ipo utaamuhitaji baba yake kwa ustawi wa mtoto
Kisali.TechnitianJr. JF-Expert Member Joined Nov 2, 2012 Posts 592 Reaction score 183 Aug 7, 2014 #33 That's a "Great Thinker". Thank you for your discretion!
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Aug 7, 2014 #34 Mie nikishatapika siwezi tena kula matapishi
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,273 Reaction score 96,437 Aug 7, 2014 #35 miss neddy said: alishachukuliwa na mafuriko yale ya juzi kati lol Click to expand... İtabidi nifanye mpango nikurudishie bikra yako. hebu twende pm chapchap sana.
miss neddy said: alishachukuliwa na mafuriko yale ya juzi kati lol Click to expand... İtabidi nifanye mpango nikurudishie bikra yako. hebu twende pm chapchap sana.
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,273 Reaction score 96,437 Aug 7, 2014 #36 Honey Faith said: Mie nikishatapika siwezi tena kula matapishi Click to expand... Sema hakyamungu
Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,754 Aug 7, 2014 #37 Asprin said: İtabidi nifanye mpango nikurudishie bikra yako. hebu twende pm chapchap sana. Click to expand... hahahhaha kimazingaombwe au
Asprin said: İtabidi nifanye mpango nikurudishie bikra yako. hebu twende pm chapchap sana. Click to expand... hahahhaha kimazingaombwe au
muima JF-Expert Member Joined Jul 30, 2014 Posts 276 Reaction score 66 Aug 7, 2014 #38 miss neddy said: ipo utaamuhitaji baba yake kwa ustawi wa mtoto Click to expand... Nitamuelekeza aende sna tatizo juu ya hilo,as for now while kwanza....
miss neddy said: ipo utaamuhitaji baba yake kwa ustawi wa mtoto Click to expand... Nitamuelekeza aende sna tatizo juu ya hilo,as for now while kwanza....
Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,297 Reaction score 18,046 Aug 7, 2014 #39 Impact unayomwachia mwanamke ndio mpango mzima.
muima JF-Expert Member Joined Jul 30, 2014 Posts 276 Reaction score 66 Aug 7, 2014 #40 muima said: Nitamuelekeza aende sna tatizo juu ya hilo,as for now while kwanza.... Click to expand... I meant shule kwanza
muima said: Nitamuelekeza aende sna tatizo juu ya hilo,as for now while kwanza.... Click to expand... I meant shule kwanza