Mwanaume mwenye hela Vs Mwanaume asiye na hela

anahitaji kupata mwanaume aliyemzidi kiuchumi..

mwanaume mwenye pesa ndiyo kila kitu sasa wanaosema anapendwa na wanawake wengi wanataka apendwe na wanaume? ni kugombania goli hakikisha unafunga tu .. usijitese kwa kapuku eti kisa unataka unyenyekewe .. mwanume pesa mengine bonus..
Unamvumilia kwenye shida akipata tu anaenda kwa anayefanana naye
 
Kwa hali ilivyo sasa hivi Tanzania, mtu awe ni me au ke, inabidi awe na "disposable income" ya shilingi ngapi kwa mwezi ili awe kwenye kundi la wenye hela. Maana kuwa na hela ni "relative".
Ukishakuwa na disposable income wewe tayari unajiweza. Unaingia kwenye kundi la wenye hela hata kama hio hela itakuwa laki! I deem to be corrected!
 
Maoni yangu, pesa ni matokeo ya jitihada tu za mihangaiko na shughuli zinazopelekea kuwa na kipato! Mkiwa serious na malengo hata mkianza mapenzi hamna kitu finally mtakuwa nazo na mtafurahia kweli maisha.

Hivyo mapenzi hayachangamani na pesa, kama mie ninazo na mwanamke wangu hana sio ishu as long as nampenda tutatumia zangu. Halikadhalika kama nae atakuwa nazo na tunapendana tutafurahia wote. Pesa sio SI Unit ya mume au mke bora!
 
anahitaji kupata mwanaume aliyemzidi kiuchumi..

mwanaume mwenye pesa ndiyo kila kitu sasa wanaosema anapendwa na wanawake wengi wanataka apendwe na wanaume? ni kugombania goli hakikisha unafunga tu .. usijitese kwa kapuku eti kisa unataka unyenyekewe .. mwanume pesa mengine bonus..
mkuu urudi ulikokuwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asubutuuuu [emoji28]...nilijua lazima utie neno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitanda hiki hakina shida yoyote na ni cha sita kwa sita godoro nchi 10
Chaga yake ni imara sana
Ni kitanda cha chuma
Bei ya kitanda peke yake ni 290,000
Ukichukua vyote 395,000
Location Dar ea salam
Njoo PM
20190319_202253.jpeg

you may not start conversation with the following recipient;Tairus
 
Sio mbaya. Hiyo inaitwa ajali kazini.
Kikubwa ni kufanya kazi kwa bidii.
Hard work never kills
Sawa mkuu

"They may forget what you said, but they will never forget how you made them feel.”
 
anahitaji kupata mwanaume aliyemzidi kiuchumi..

mwanaume mwenye pesa ndiyo kila kitu sasa wanaosema anapendwa na wanawake wengi wanataka apendwe na wanaume? ni kugombania goli hakikisha unafunga tu .. usijitese kwa kapuku eti kisa unataka unyenyekewe .. mwanume pesa mengine bonus..
Daa!
 
Hakuna anayebisha kwamba pesa ni kiungo muhimu sana kwenye mahusiano, lakini sizani kama ni busara kutumia kigezo cha pesa kufanya maamuzi ya kuingia au kutoingia kwenye mahusiano.

Ni vizuri kumtathimini mtu binafsi kabla ya pesa zake, natumai wewe binafsi kuna vitu/sifa utapenda uyo mtu awe nazo kama uaminfu, mchapakazi, upendo, mcha Mungu, anatimiza na kusimamia kile anachosema na kuahidi, kujipatia kipato kwa njia za halali na zinazokubalika na kadhalika

Sizani kama utakuwa tayari kuwa na mtu kiss ana pesa ata kama ni jambazi, aheshimu hisia zako na fikra zako, mlevi wa kupindukia,

Pesa inapendeza inapoenda kwa mtu sahihi anayeweza kuitawala la sivyo inaweza geuka kuwa mwiba wa mahusiano na kuleta madhara kwa wahusika hadi kwa kizazi chao.
 
anahitaji kupata mwanaume aliyemzidi kiuchumi..

mwanaume mwenye pesa ndiyo kila kitu sasa wanaosema anapendwa na wanawake wengi wanataka apendwe na wanaume? ni kugombania goli hakikisha unafunga tu .. usijitese kwa kapuku eti kisa unataka unyenyekewe .. mwanume pesa mengine bonus..

My dear Dada. Ulipotea mpaka nikaogopa. Njoo PM fasta. ID yangu ya awali waiiban moja kwa moja.

fanya hivyo my dada
 
anahitaji kupata mwanaume aliyemzidi kiuchumi..

mwanaume mwenye pesa ndiyo kila kitu sasa wanaosema anapendwa na wanawake wengi wanataka apendwe na wanaume? ni kugombania goli hakikisha unafunga tu .. usijitese kwa kapuku eti kisa unataka unyenyekewe .. mwanume pesa mengine bonus..
#Kamwene dada
 
Back
Top Bottom