Head Gelo
Senior Member
- Oct 7, 2018
- 122
- 210
- Thread starter
- #21
Mapenzi yana formula
Lazima muwe waaminifu ukivunja hii hayatadumu
Muwe wa kweli na wenye kuheshimiana usipozingatia hili yatadumu
Ongeza yako
Alafu mwisho nijibu kama kweli hakuna kanuni za mapenzi
Sent using Jamii Forums mobile app