Head Gelo
Senior Member
- Oct 7, 2018
- 122
- 210
Hebu nipeni uzoefu hapa
Mfano mdada ana hela yakujihudumia si tegemezi kabisa
Anahitaji kupata mtu gani kati ya hawa?
1.Mwanaume aliyemzidi ki uchumi
2.Mwanaume ambaye hana pesa kabisa
Kati ya hawa wanaume wawili ni yupi ambaye wata match
Wengi wanasema wanaume wenye hela wanaringa na niwasumbufu coz wanapendwa na wadada wengi na uwezo wa kupata mwanamke yeyote wanayo
Pia wanasema ukipata asiye na hela labda wakipewa sapoti baadaye wakifanikiwa wengi hubadilika
Je kuna ukweli wowote?
Hebu wanaume fungukeni
Sent using Jamii Forums mobile app