Mwanaume mashine

Afadhali mara million kuliko pesa bila mashine

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu...mm nilidhani kuwa na mashine tu....kunakufanya ujione ushamaliza kila kitu...mm nilimaaanisha kuwa na mashine tu haitoshi kujiamini....unapaswa utafute pesa pia...ila km hilo la pesa au mashine...Duu .mkuu mm nachaguwa MASHINE...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume wa DSM kwenye ubora wake anakaanga kichwa
 
Kazi mnayo wanaume kwa sasa ngoja na sisi tupumzike kidogo maana mlituandama sana kila kitu mwanamke. Safari hii vibamia havitawaacha salamaπŸ˜€
 
Mshana kuna wengine wana ngiri au chango..ina sababisha mshedede kusinyaa.au kuingia ndani.nadhani umenielewa..huku Tanga matatizo hayo ni nadra sana..
 
Jamani kwa experience yangu. Wanawake ambao hawana shape nzuri kiivo ujue chini patam. Wale wenyew miji shape chini kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…