Au sio hela yako kibindoni 😂🎵🎵🎶🎶🎵🎶🎵🎶🎵Wanaume tumeumbwa maatesoooo mateso kuhangaika🎶🎶🎵🎵🎵🎶🎶
Niko hivyo piaNa-flow na uelekeo wa maji.... kilicho nje ya uwezo unakivalia miwani ya mbao..
Sio kweli ni kujiendekeza tu , mbona hayo mateso mimi sina😆🎵🎵🎶🎶🎵🎶🎵🎶🎵Wanaume tumeumbwa maatesoooo mateso kuhangaika🎶🎶🎵🎵🎵🎶🎶
Yaani mwanaume Ni utakula Kwa jasho haijalishi utakula nini!!Au sio hela yako kibindoni 😂
naamNa-flow na uelekeo wa maji.... kilicho nje ya uwezo unakivalia miwani ya mbao..
Hiz bora uwe unanunua, unabutua unatupilia kuleeKuna hii expense pia umesahau
View attachment 3409781
Kujiendekeza Tena,hata kichupa kujaa Ni mateso tu,Si mnaona Sisi kina Eva mambo Ni buru buru tu!!Sio kweli ni kujiendekeza tu , mbona hayo mateso mimi sina😆
Ngoja niendelee kupambana mama gwamaka ili uje ufurahi uzeeniYaani mwanaume Ni utakula Kwa jasho haijalishi utakula nini!!
Kiukwel haya mateso hata mimi toka niachwe na ex-yf, sina kabisa mateso ya kijinga jinga haya. Kila nikikutana na wadau wanashangaa "mbona unanawiri siku hizi?"😂Sio kweli ni kujiendekeza tu , mbona hayo mateso mimi sina😆
Hakuna watu wenye upwiru kama nyie , sema mnazuga tu ili vijana wajichnganye🤣Kujiendekeza Tena,hata kichupa kujaa Ni mateso tu,Si mnaona Sisi kina Eva mambo Ni buru buru tu!!