Mwanaume kuweka profile ya kike

wew mbona umeweka ya kiume
Acheni kuwaza ujinga, sasa mtu amemuweka profile mamaake mzazi, shangazi, au mamdogoake. hiviii tatizo likowapi hapo!!! Usilazimishe watu tufanane maana utofautiwetu ndo ubinadam wetu
 
Inaonyesha n jinsi gan unapenda kutongoza sasa katika utongozaj wako umekutana na me wenzako
mara kibao tu alafu napenda sana maana nikikaa muda bila kutongoza naweza kusahau si unajua kama software kwenye computer ukikaa muda sana baadhi tools utasahau ndio maana napenda kutongoza ili nijue njia mpya
 
sioni shida mwanaume kuweka picha ya mpenzi wake...
naona shida mwanaume kuweka picha ya mwanaume mwenzako.....anyway huenda ni mpnzi wako.
mwqnaume kuweka picha ya demu wako au mke wako uo ni umama
 
Wewe mbona umeweka picha ya jambazi? Kwani wewe ni jambazi?
Nikisema nitumie nabomu utakua nayo?
 
Ni ujinga na upumbavu pia ,dume kuweka profile yenye picha ya kike
 
Sidhani kama kuna tatizo sababu kila mtu anaweka kutokana na sababu zake,huenda ni wapendwa wake km mke, mama Dada nk

Kwa upande wa JF pia ni hivyohivyo mwanaume anaweka picha ya kike labda ni celebrity fulani anasifa za ziada katika kupambana,au alipitia mengi hivyo anachukuliwa kama mfano hivyohivyo kwa upande wa wanawake wanaotumia profile za kiume.

Binafsi hili suala liliniletea shida sana Siku ya kwanza kabisa kujiunga hapa JF kisa niliweka avatar ya celebrity fulani wa kike,na kuna mijitu ikaja mpaka PM eti inaleta sound mara sijui 'pande za wapi?nk

Ilibidi niitoe dakika hiohio kuondoa usumbufu japo kwenye jinsia ipo wazi kabisa ukiangalia utaona sasa sijui kichwani kwao wanafikiria nini,au ni haraka ya kuwahiana mademu wageni hata muda wa kuangalia jinsia hawana.

Kwahio sidhani kama kuna tatizo alimradi jinsia yako kwenye profile iko wazi na MTU anaweka kuona jinsia yako,labda tatizo liwe kwa wale wanaoficha jinsia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…