sungusungu
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 3,057
- 723
Hizo picha huwa hazina majina ya mtumiaji wa hiyo account?Hivi inakuaje mwanaume una profile yako picha ya kike iwe whatsapp, insta, facebook au jamii embu naomba mnisaidie huwa wanafikiriaga nini?
Nimejikuta naanza kuwasalimia mambo halafu nawatongozaga huko inbox baadae linakwambia mimi mwanaume
Kiukweli wanakataga stimu kabisa
ndio maana tunapungukiwa nguvu za kiume sababu ya hivi vitu.
We mkenya una epa epa nini ushakula githeri na minji?Kuna wale huwekanga Profile picture za kiume! Hao wako sawa? Ju unakuta ni manzi.
muwe mnafikiria kabla ya kuandika bhana... maana ya kuficha utambulisho ninini? unataka kila kitu?Hivi inakuaje mwanaume una profile yako picha ya kike iwe whatsapp, insta, facebook au jamii embu naomba mnisaidie huwa wanafikiriaga nini?
Nimejikuta naanza kuwasalimia mambo halafu nawatongozaga huko inbox baadae linakwambia mimi mwanaume
Kiukweli wanakataga stimu kabisa
ndio maana tunapungukiwa nguvu za kiume sababu ya hivi vitu.
[emoji40][emoji40][emoji40]Mwana wa mtoka pabaya wee!
We umejiunga humu kutongoza watu????
Na wewe pia unatisha watu maana wanadhani Osama bado mzima.
umu ndio sababu kubwa wa kuandika huu uziHuko kwenye mitandao mingine watu huweka za wapenzi wao!
Humu sasa ndo changamoto, majina na picha havina ushirikiano kabisa!
sioni shida mwanaume kuweka picha ya mpenzi wake...Hivi inakuaje mwanaume una profile yako picha ya kike iwe whatsapp, insta, facebook au jamii embu naomba mnisaidie huwa wanafikiriaga nini?
Nimejikuta naanza kuwasalimia mambo halafu nawatongozaga huko inbox baadae linakwambia mimi mwanaume
Kiukweli wanakataga stimu kabisa
ndio maana tunapungukiwa nguvu za kiume sababu ya hivi vitu.
je kama naandika huu uzi nipo mbinguni utakataa auMkuu mbinguni huendi, huu ni upotoshaji kiwango cha Koroshow
angalia avatar yangu hua siandiki tuu post zangu ila inapotoekea chuma natongiza tuHahahahha...ss ww unaumia nn ss..kwahyo kazi kuu ni kutongoza tongoza tu?shubamit
umri wangu angalia avatar yangu kujiunga humuKwanza una umri gani Dogo! inaelekea unapitia DP za watu kwenye magroup na kuanza kutongoza, Angalia kuna siku utaishia pabaya
nishamjibuMkuu akikujibu fanya kun tag???
angalia avatar yangu hua siandiki tuu post zangu ila inapotoekea chuma natongiza tu
Mwanaume kuweka profile ya mwanamume mwenzio mmmh! yatia shaka. sasa wewe ndo osama? hebu weka picha yako sasa. Its your words against yours
Hiyo profile inaweza ikawa ni ya mtu ampendaye au mtu wa karibu sana na yeye. au ni mwanamke kweli ila kaamua kukutolea nje ili usimsumbue.
mimi nazungumzia wale wanaume wanaoekaga picha za kikeKuna wale huwekanga Profile picture za kiume! Hao wako sawa? Ju unakuta ni manzi.