simba wa dodoma
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 930
- 1,024
ndio maana tunapungukiwa nguvu za kiume sababu ya hivi vitu
Mkuu akikujibu fanya kun tag???We umejiunga humu kutongoza watu????
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwanza una umri gani Dogo! inaelekea unapitia DP za watu kwenye magroup na kuanza kutongoza, Angalia kuna siku utaishia pabaya
Hiyo profile inaweza ikawa ni ya mtu ampendaye au mtu wa karibu sana na yeye. au ni mwanamke kweli ila kaamua kukutolea nje ili usimsumbue.Hivi inakuaje mwanaume una profile yako picha ya kike iwe whatsapp, insta, facebook au jamii embu naomba mnisaidie huwa wanafikiriaga nini?
Nimejikuta naanza kuwasalimia mambo halafu nawatongozaga huko inbox baadae linakwambia mimi mwanaume
Mh! Mara he pict,mara red gown, mara blue gown. Tunabadilikiwa tu mama kinyonga kila siku na hatusemi. Yeye ni nini kimemuuma?Hahahahha...ss ww unaumia nn ss..kwahyo kazi kuu ni kutongoza tongoza tu?shubamit
Hivi inakuaje mwanaume una profile yako picha ya kike iwe whatsapp, insta, facebook au jamii embu naomba mnisaidie huwa wanafikiriaga nini?
Nimejikuta naanza kuwasalimia mambo halafu nawatongozaga huko inbox baadae linakwambia mimi mwanaume
Kiukweli wanakataga stimu kabisa
ndio maana tunapungukiwa nguvu za kiume sababu ya hivi vitu.
Mh! Mara he pict,mara red gown, mara blue gown. Tunabadilikiwa tu mama kinyonga kila siku na hatusemi. Yeye ni nini kimemuuma?
Mwana wa mtoka pabaya wee!