Konnie kwavile tu nimejitahidi kidogo sio ndio unipoteze kabisa bana. Nisaidie hapo kidogo.
Hahahaha. . .hongera kwa mwalimu na mwanafunzi.
kha! Do i need to say anything more? Au niseme yote yaliyojiri last week tukiwa sehemu flan east coast znz last week?
Jamaa ana hate kama vile visimamia kucha f'lani hivi....hovyo sana.
dah, hii ni sehemu ya darasa
'karibu nyumbani, leo zamu yako kuchunga ng'ombe wote'
hivi we unajua bishanga anakula vidonge vya presha?We endelea tu. . .
Ngoja nimchukue wangu tukalale zetu maana mvua raha yake kukumbatiana.
nikuwadie basi kwa .....kabla hujalala plizNgoja niondoke hapa kabla sijawa kuwadi wa kike nikasutwa bure.
hivi we unajua bishanga anakula vidonge vya presha?
Ndo unataka uniletee mimi presha zako? Aku babu. . .tafuta mzee mwenzio.
kuna siku nilimtokea mrembo mwisho akaniambia...'we babu ujana ule na mkeo uzee uje kunifia kifuani?'Ndo unataka uniletee mimi presha zako? Aku babu. . .tafuta mzee mwenzio.
Hahahahaaaa duuh....bonge la dongo hilo.
kuna siku nilimtokea mrembo mwisho akaniambia...'we babu ujana ule na mkeo uzee uje kunifia kifuani?'
we mtoto acha ushakumpempe!Heheheehehe. . . ye anatangazaje umasikini shereheni?
hau oldi a yu?Ndo hivyo sasa. . .
Ya nini kuleteana matatizo?
Duh!Siredi imeenda mno ngoja niwe mtazamaji!
unafurahia mateso yangu sio?Hahahahaaaa duuh....bonge la dongo hilo.
Mmeamuaje juu ya Mwanaume Kuwadi? Nataka kuja na Mwanamke kuwadi,je dadake Mbu akitumwa kuja kunikuwadia kwa Mbu naye ataitwa kuwadi? au mpaka akuwadie against Mbu??