X-PASTER JF-Expert Member Joined Feb 12, 2007 Posts 11,604 Reaction score 1,858 May 3, 2011 #101 Hata kwa mwanamke kutumia ubini wa mwanaume si lazima.
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,342 Reaction score 10,680 May 4, 2011 #102 Inawezekana sana ila vichwa ngumu.
Blaki Womani JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 11,228 Reaction score 13,450 May 4, 2011 Thread starter #103 Husninyo said: Inawezekana sana ila vichwa ngumu. Click to expand... Ha ha ha ha watoto watatumia surname ya mama/wajomba na mjukuu wa kiume anatumia surname ipi? mwisho ukoo wa baba unapotelea baharini
Husninyo said: Inawezekana sana ila vichwa ngumu. Click to expand... Ha ha ha ha watoto watatumia surname ya mama/wajomba na mjukuu wa kiume anatumia surname ipi? mwisho ukoo wa baba unapotelea baharini
E ejogo JF-Expert Member Joined Dec 19, 2009 Posts 990 Reaction score 72 May 4, 2011 #104 Kwakawaida mwanamke kuchukua ubini wa mwanaume huwa wanaona fahari fulani hivi, sasa hapo kama mwanaume anachukua ubini wa mama mmh!
Kwakawaida mwanamke kuchukua ubini wa mwanaume huwa wanaona fahari fulani hivi, sasa hapo kama mwanaume anachukua ubini wa mama mmh!
Curtis the Second JF-Expert Member Joined Jul 10, 2016 Posts 245 Reaction score 216 Jul 16, 2016 #105 Blaki Womani said: Habari ya W/end wanaJF naomba kuuliza mwanaume anaweza kubadilisha ubini (Surname) yake na kutumia ya mkewe? Click to expand... kwenye jamii zinazofata uzawa wa upande wa mke...nahisi inawezekana! vip lakin blaki Womani,unataka umtaifishe kabisa?
Blaki Womani said: Habari ya W/end wanaJF naomba kuuliza mwanaume anaweza kubadilisha ubini (Surname) yake na kutumia ya mkewe? Click to expand... kwenye jamii zinazofata uzawa wa upande wa mke...nahisi inawezekana! vip lakin blaki Womani,unataka umtaifishe kabisa?
Curtis the Second JF-Expert Member Joined Jul 10, 2016 Posts 245 Reaction score 216 Jul 16, 2016 #106 Susy said: teh teh teh Blaki!! kama mwanamke anaweza kutumia ya mumewe kwanini mwanaume ashindwe?? japo hapa wakija utawaona wanajifanya oooh haiwezekani lkn waongo inawezekana lol!!! Click to expand... ha ha ha susy,mna agenda ya kubadili hadi utaratibu wa majina kabisa...kweli mmedhamiria awamu hii!
Susy said: teh teh teh Blaki!! kama mwanamke anaweza kutumia ya mumewe kwanini mwanaume ashindwe?? japo hapa wakija utawaona wanajifanya oooh haiwezekani lkn waongo inawezekana lol!!! Click to expand... ha ha ha susy,mna agenda ya kubadili hadi utaratibu wa majina kabisa...kweli mmedhamiria awamu hii!
K KARANJA 007 JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 5,990 Reaction score 2,521 Jul 16, 2016 #107 Dena Amsi said: Hii kali Click to expand... Tena kama ugoro.
maringeni JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 3,197 Reaction score 3,901 Jul 16, 2016 #108 Sio bure wewe Uliongezewa damu ya mhindi maana hizi ndio zao.