Habari mpendwa msomaji wa uzi hii.
Wiki iliyopita nilikuwa mitaa fulani hivi, kuna watu wakawa wanabishana kuhusu mwanaume kuvaa hereni wengine wakidai ni uhuni, ushoga huku wengine wakisema si uhuni.
Ndugu mwanaJF hakuna sheria ianayomkataza mtu kuvaa hereni kwa kuwa kuna baadhi ya makabila kama wabarbaigi mwanaume anaruhusiwa kutoboa masikio na kuvaa hereni.
Hivyo kwa mtazamo wangu ni sawa maana si dhambi wala haijaandikwa kwenye maandiko matakatifu ya Biblia na Quruan, tatizo ni akili za watu kuwaza mambo ndivyo sivyo.
Huo ni mtazamo wangu tu, karibuni tujadili kwa pamoja.
Yah ni kawaida ni uswahili unatusumbua sie watz tuonapo men wametupia hereni ila kwa kweli ni kawaida ni pambo kama saa tu halibadili uhalisia wa ndani wa mtu
Uswahili??? Wewe mzungu? Kubali kuwa shoga basi. Kila watu na mila na tamaduni zao.
Ww mila na desturi zako ni kuvaa nguo,Kula vyakula vya kisasa,kutumia internet mbona umeacha mambo kama kutambika na umekimbilia uislamu au ukiristo unadhani huo ni asili yako???
Jamhuri ya Watu wa KenyaWa nchi gani?
Bila shaka utakuwa bwabwa wewe. Mnatia aibu.Ww mila na desturi zako ni kuvaa nguo,Kula vyakula vya kisasa,kutumia internet mbona umeacha mambo kama kutambika na umekimbilia uislamu au ukiristo unadhani huo ni asili yako???
Chakula ya watu hiyo.Atakuwa bwabwa huyu
Jamhuri ya Watu wa Kenya