Mwanaume kuvaa hereni

Unavaa hereni ili iweje kama sio ushoga. ? Vaa siku ukishikwa makalio ndo utaelewa
 
Hawezi rusha nguni maana siwanasema biashara ni matangazo na matangazo yenyewe ndio hayowakipita mbele yetu ni mluzi kwa kwenda mbele

Teh teh teh ashakuambia ni pambo mkuu. Sometimes ni vizuri ukaTest Zari kwa mluzi huwa sio wakali wote
 
Dah m binafs sithubutu kuvaa dah hivi nitapita njian jaman watu hapana aisee
 
Kwa mwanamke kutoboa ama kuvaa heren tunasema urembo, sasa mwanaume urembo unakusaidia nini? Haya tuseme mwanamke anatafuta kibuzi na ww kidume watafuta nini? Acheni zenu mwanaume akitoboa ni dalili za kuhalalisha kiboga tu.
 
Wanawake wakivaa heleni huwavutia wanaume...
Sasa Mwanaume wakivaa heleni...wanategemea kuwavutia akina nani kama sio hao wanaume???
Easy arithmetic..
 
Tatizo watu wanapenda halalisha hata kile kisicho na maana. Hivi Mungu kweli alituumba tifanye haya tifanyayo leo?
Hakumuumba mtu akiwa kajitoboa sikio.... isitoshe Mbinguni hapatakuwa ma kuvaa hizo hereni sasa kwanini utese mwili wako
Waache wavaae na wajilembe hakuna vya kufanya.Unafikiri ukiwa na shughuli za uzalishaji ambazo hukutana na watu wanaoendana na status yako utavaa heleni?Kama mwanaume halisi,ukiaachana na hao wana muziki ambao wamefanya sehemu yao kuwa hivyo.
 
Kutoboa sikio m naonaga poa 2 as long as anakaza sio anakua ki kikekike ila kutoboa Pua mtt wakiume ndio naona dah anakua kama mdada
 
Waache wavaae na wajilembe hakuna vya kufanya.Unafikiri ukiwa na shughuli za uzalishaji ambazo hukutana na watu wanaoendana na status yako utavaa heleni?Kama mwanaume halisi,ukiaachana na hao wana muziki ambao wamefanya sehemu yao kuwa hivyo.


Huyo ni JAJI MKUU!
 
Asante ndio uwezo wake wa kufikiri ulipoishia.Wanaume naomaanisha hapa na status zao si kama huyoo.Hata ungemweka nani.Kama hujawahi vaa basi wewe ni mmoja ya hao nao zungumzia.Mwisho kama ni utamaduni tu na si ulimbukeni.Mbona hatuvaai sidiria?Hiki ni kipindi cha wanaume kuwasha kutamani kuwa wanawake.
 
Ni ushoga +ushirikina+(masharti) +ulimbukeni nk
 

Attachments

  • 1436301068764.jpg
    164.6 KB · Views: 185

Nini hereni tu, wengine wanavaa hadi shanga viunoni, wanavaa sketi, mawigi waache wavae, lakini hatutokubali Tanzania iruhusu ushoga.
 

Umefanya utafiti wa kutosha na ukagundua kwenye biblia hakuna!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…