CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,361
- 6,441
Ndugu yangu hakuna mavazi maalum kwa jili ya mwanamke wala mwana utofauti ni muundo wa itengezaji tu ukiondoa masidiria tu.
Suruali wanavaa kina nani? india wana oa ni akina nani?
Suruali wanavaa wanaume. ndio utamaduni wetu. Wanawake kuvaa suruali ni new invention! India wanaoa wanaume, lakini wanaotoa mahari ni wanawake. Usichanganye mambo
Tatizo watu wanapenda halalisha hata kile kisicho na maana. Hivi Mungu kweli alituumba tifanye haya tifanyayo leo?
Hakumuumba mtu akiwa kajitoboa sikio.... isitoshe Mbinguni hapatakuwa ma kuvaa hizo hereni sasa kwanini utese mwili wako
View attachment 265871
Yeah namjua huyo hapo juu, sasa nyie mchelemchele mnatoboaga hivyo?
Tatizo ni kugeza huko malizia na kusuka nywele kabisa maana nalo ni pambohalafu upige na Pamela kipini puani ila mkuu tukikupigia mluzi usirushe Ngumi tu.
Hawezi rusha nguni maana siwanasema biashara ni matangazo na matangazo yenyewe ndio hayowakipita mbele yetu ni mluzi kwa kwenda mbele
Sasa nini maana ya huo mluzi?