hiiii..! kama una miaka zaidi ya mitano na unamulewa basi kaza buti mwenyewe kieleweke, au utasubiri sana tuyaani Kabisa Kuna mmoja humu urafiki wangu mimi na yeye zaidi ya miaka 5,nimemuelewa amenielewa ila hajakaza tu buti,namsubiri ntambae nae
natamani mimi ndio ningekuwa huyo ambaye unamsubiri akaze butiyaani Kabisa Kuna mmoja humu urafiki wangu mimi na yeye zaidi ya miaka 5,nimemuelewa amenielewa ila hajakaza tu buti,namsubiri ntambae nae
huo ndo uanaume bana na tusiende tofauti ya hapo,eti mwanaume unajisifia kuwala madem waliokutongoza na wengine wanaona kawaida kutongozwaMimi ni old school, ukinitongoza najitoa mwenyewe. Yaani mzuka unaisha fasta.
Na sijawahi kula demu aliyenitongoza, mpaka huwa najihisi nina tatizo maana unaweza kunikuta najipendekeza kwa demu namlia timing ya kuimbisha, akijichanganya akaanza yeye ndo kanifukuza.
Wanaume Malaya wanapenda kweli kusema kuwa wanatongozwa wengi ambao hisema wameto gozwa na wadada ni waongo mnooo yani
huo ndo uanaume bana na tusiende tofauti ya hapo,eti mwanaume unajisifia kuwala madem waliokutongoza na wengine wanaona kawaida kutongozwa