Hata Wewe Ukiniona Lazima Unielewe Tu Hata Kinafiki Lakini Kukuwekea Vimitego Sahau
Torvic Nakupa Mfano Wa Mume Wangu,mara Ya Kwanza Kumuona Nlimuona Kwa Picha Ya Familia Yao,alintambulisha Dada Yake,sikufichi Nlimuelewa Sana Na Stori Za Dadake Kuhusu Yeye Ndo Kabisa kimoyomoyo nkawa nasema na kuomba awe wangu,,na Yeye Siku Ya kwanza kuniona akanielewa sana,tulivyoonana ndo kabisa,dar hakukaliki mwanza hakukaliki,tukakamilisha kitu na Mungu akatubariki kidume,ila safari yetu iliishia njiani Mungu Alimpenda Zaidi,