Mwanzo ni Mwisho
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 4,394
- 10,836
- Thread starter
- #61
hiiii..! kama una miaka zaidi ya mitano na unamulewa basi kaza buti mwenyewe kieleweke, au utasubiri sana tuyaani Kabisa Kuna mmoja humu urafiki wangu mimi na yeye zaidi ya miaka 5,nimemuelewa amenielewa ila hajakaza tu buti,namsubiri ntambae nae