Mwanaume kutongozwa imekaaje?

yaani Kabisa Kuna mmoja humu urafiki wangu mimi na yeye zaidi ya miaka 5,nimemuelewa amenielewa ila hajakaza tu buti,namsubiri ntambae nae
[emoji23] [emoji23] akiiona hii coment atakuwa ashaelewa
 
Duh pole sana mkuu, je naweza badili naafasi yake? Ila Si mbaya nikajua nini kilimuua
 
Hapo kazi imerahisishwa na inaondoa hadithi za uongo ambazo hazina tija. eti ooo....nitakununulia meli, ooo.....ninamiliki mkoa....blabla...nyingine. Kama utamu unajileta wewe kazi ni moja tu. KUKULA
teh teh! eti kazi ni KUKULA TU!
mtu anajiweka kwenye kitazi mwenyewe
 
Wanaume Malaya wanapenda kweli kusema kuwa wanatongozwa wengi ambao hisema wameto gozwa na wadada ni waongo mnooo yani
 
mbona ni sawa tuu mwanamke kumtongoza mwanaume
 
Kuna wanawake wengine hawana aibu, akikupenda hadi anakuwinda,anakupigia misele hadi kitaa,mpaka unaogopa!
 
Eeeh kuna kipindi dada mmoja kapanga jirani yangu alikua anaonyesha viasharia vyote kidume nikajitosa hahaha sikuamini nilivyochezea vya mbavu...na urafiki ukafa kabisa
hahah! kwaiyo sahiv ata ukiwekewa vimitego auendei unaogopa kupigwa cha mbavu?
 
kwa hali yako ivyotokea na wewe na mume wako wote mlidata, lakini kama ingetokea mwanaume ajakuweka kichwani ilikuwa sio noma kumwambia hisia zako, mbali na hapo ungemkosa tu
 
Sasa hivi nimeoa bana,,,hayo mambo hamna tena
kama umeoa mkuu hapo sawa, lakini nasikia watu wenye ndoa zao ndo mnakumbwa sana na hali ya kutongozwa, sijui kweli
 
Kuna wanawake wengine hawana aibu, akikupenda hadi anakuwinda,anakupigia misele hadi kitaa,mpaka unaogopa!
asee huyo wakukupigia misele sio, hapo lazima umuogope, atakuwa ana jambo jingene huyo
 
Kuna wanawake wengine hawana aibu, akikupenda hadi anakuwinda,anakupigia misele hadi kitaa,mpaka unaogopa!
pole mkuu aisee hilo guberi halina aibu nimecheka sana
 
Watutongoze tu, na hivi vyuma hilivyokaza siku hizi muda wa kutongoza hatuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…