Mwanaume kutongozwa imekaaje?

asee! unafanya vema sana
 
Naanzaje Labda Kwa Mfano?Ila Kuna Ile Mtu Umemuelewa,unamsubiria Akiflow Tu Natamba Nae,ila mimi kumuanza au kuonesha mashauzi hapana aisee
Aiii..! umemuelewa mtu na yeye ajui kama unamulewa unafikiri utampataje huyo zaidi ya funguka hapo, au ndo utaanza kuweka vimitego vyako
 
Haha unatambaa naye
 
tena siku hizi si kutongoza,kutongoza na kuhonga viambatane lasivyo utaniokota mtaa be
Kwahiyo ukiwa unatongozwa na kuhongwa na wanaume zaidi ya mmoja si utapasuliwa na wote?!
 
Naanzaje Labda Kwa Mfano?Ila Kuna Ile Mtu Umemuelewa,unamsubiria Akiflow Tu Natamba Nae,ila mimi kumuanza au kuonesha mashauzi hapana aisee
Kunaviashiria mnatuonyesha tunavielewa,,sio lazima mje direct
 
Hapo kazi imerahisishwa na inaondoa hadithi za uongo ambazo hazina tija. eti ooo....nitakununulia meli, ooo.....ninamiliki mkoa....blabla...nyingine. Kama utamu unajileta wewe kazi ni moja tu. KUKULA
 
Hata Wewe Ukiniona Lazima Unielewe Tu Hata Kinafiki Lakini Kukuwekea Vimitego Sahau
Aiii..! umemuelewa mtu na yeye ajui kama unamulewa unafikiri utampataje huyo zaidi ya funguka hapo, au ndo utaanza kuweka vimitego vyako
Torvic Nakupa Mfano Wa Mume Wangu,mara Ya Kwanza Kumuona Nlimuona Kwa Picha Ya Familia Yao,alintambulisha Dada Yake,sikufichi Nlimuelewa Sana Na Stori Za Dadake Kuhusu Yeye Ndo Kabisa kimoyomoyo nkawa nasema na kuomba awe wangu,,na Yeye Siku Ya kwanza kuniona akanielewa sana,tulivyoonana ndo kabisa,dar hakukaliki mwanza hakukaliki,tukakamilisha kitu na Mungu akatubariki kidume,ila safari yetu iliishia njiani Mungu Alimpenda Zaidi,
 
Utakuwa umeshakua mkubwa umejiongeza,ila pia saa zingine mnatuelewa vibaya
Eeeh kuna kipindi dada mmoja kapanga jirani yangu alikua anaonyesha viasharia vyote kidume nikajitosa hahaha sikuamini nilivyochezea vya mbavu...na urafiki ukafa kabisa
 
Kwahiyo ukiwa unatongozwa na kuhongwa na wanaume zaidi ya mmoja si utapasuliwa na wote?!
nokia hapa tutaaply mwenye kisu kirefu ndo anayekula nyama combined with other terms
 
Mwenye kisu kirefu unamjuaje kama invoice zote unazopeleka kwa watu tofauti zinapita bila tatizo
 
Halafu mwanamke ana asimilia 90 ya kufanikiwa lengo lake kama atatongoza mwanaume kuliko mwanaume kumtobgoza wa kike.

Mimi naona sio dhambi ni kawaida tu.
 
Pole sana
 
Eeeh kuna kipindi dada mmoja kapanga jirani yangu alikua anaonyesha viasharia vyote kidume nikajitosa hahaha sikuamini nilivyochezea vya mbavu...na urafiki ukafa kabisa
Haaahaa sasa hii imekaaje nayo
 
Nimekucheka
Eeeh kuna kipindi dada mmoja kapanga jirani yangu alikua anaonyesha viasharia vyote kidume nikajitosa hahaha sikuamini nilivyochezea vya mbavu...na urafiki ukafa kabisa
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…