Kupigwa ni kutaka bwana..Mimi na mikono yangu miwili na miguu eti nisimame nipigwe we salama yako hakuna kitu kilicho karibu nikakulenga nacho ha ha ha hata kama sina nguvu za kukushindilia mingumi...Huyo mwanaume anaogopa kumpiga mkewe kwasababu ataonekana mkandamizaji/mpigaji....Lakini hata hivo mwanaume lazima awe mwanaume akikupiga jicho moja tu la kelbu akili ina kaa sawa hapo hajafungua mdomo....:smile-big:Mambo vip wana member....
Jamani leo imenibidi niwashirikishe ktk moja ya matukio ambayo siyaelewagi hata kidogo.
Eti eti eti... Mwanaume alie komaa kabisa,misharubu kibao,kende zote mbili zimekomaa,alafu anapewa kichapo na mwanamke tena hadharani,mbele ya majirani...
Ivi tatizo hua nini mpaka mwanaume anapigwa na mwanamke...au ndio mapenzi ya digitali,ndio kua zombi au.?
Embu tupeane uzoefu ktk hii mambo bna alafu tuone ninini kinawapa jeuri hawa viumbe wa KE.!?
Finito..
Mambo vip wana member....

Kupigwa ni kutaka bwana..Mimi na mikono yangu miwili na miguu eti nisimame nipigwe we salama yako hakuna kitu kilicho karibu nikakulenga nacho ha ha ha hata kama sina nguvu za kukushindilia mingumi...Huyo mwanaume anaogopa kumpiga mkewe kwasababu ataonekana mkandamizaji/mpigaji....Lakini hata hivo mwanaume lazima awe mwanaume akikupiga jicho moja tu la kelbu akili ina kaa sawa hapo hajafungua mdomo....:smile-big:

Ahsante Mashaxizo....Mara nyingi kunapokuwa na kutoelewana kati ya mwanamke na mwanaume...kama tunavyojua sie wadada hasira zetu unaweza umpige mwanaume vibao au vingumi(ambavyo havina nguvu hata haviumi) kama vile unachombeza....sasa inabidi mwanaume atulie tu kwasababu anakuwa anajua keshaharibu na hasira za mpenzie zipo hivo na ni mapito tu...na isitoshe akilipiza yeye anaweza amuumize mwenzie sio kwasababu mwanaume anatumia nguvu na kipigo si cha kitoto damu inaweza imwagike,uvie damu sehemu tofauti za mwili,utolewe meno,nundu na hata uvunjwe mifupa...Kwahio wakaka wanaona watulie tu..isitoshe wanaume wastaarabu na wapole hawapigii wapenzi wao :smile-big:Mkuu nimeipenda sana signature yako!
Nikiihusisha na mada + ulichokiongea, napenda nikuulize swali!
Hivi ni kitu gani kinafanya mume apigwe, mke apige na mume atulie akipigwa?
ndio mtuambie mnajisikiaje mnapo wapiga wanaume zenu,wakati jamii yote yajua kua wakupigwa ni mwanamke,kumbe kuna vijeba mavi flani vinakulaga kipondo...teh teh teh
Eti wa kupigwa ni mwanamke!!ndio mtuambie mnajisikiaje mnapo wapiga wanaume zenu,wakati jamii yote yajua kua wakupigwa ni mwanamke,kumbe kuna vijeba mavi flani vinakulaga kipondo...teh teh teh
Eti wa kupigwa ni mwanamke!!
HOVYOOO
Ahsante Mashaxizo....Mara nyingi kunapokuwa na kutoelewana kati ya mwanamke na mwanaume...kama tunavyojua sie wadada hasira zetu unaweza umpige mwanaume vibao au vingumi(ambavyo havina nguvu hata haviumi) kama vile unachombeza....sasa inabidi mwanaume atulie tu kwasababu anakuwa anajua keshaharibu na hasira za mpenzie zipo hivo na ni mapito tu...na isitoshe akilipiza yeye anaweza amuumize mwenzie sio kwasababu mwanaume anatumia nguvu na kipigo si cha kitoto damu inaweza imwagike,uvie damu sehemu tofauti za mwili,utolewe meno,nundu na hata uvunjwe mifupa...Kwahio wakaka wanaona watulie tu..isitoshe wanaume wastaarabu na wapole hawapigii wapenzi wao :smile-big:
Sisapoti kusema kweli...kwasababu mwanaume anavunjiwa heshima na kama mpaka imefikia hatua ya kupigana hadharani ni kwamba hakuna mipaka kati ya hao wapendanao kwa sababu katika mahusiano mwanaume anajulikana msimamo wake na nafasi yake!Sasa kama kamuachia mpenzi wake mpaka anampiga hadharani ni lawama yake mwenyewe...Hapa nimekuelewa unasapoti kitendo cha mke kumpiga mmewe hadharani (kama mada inavyoeleza)!
Mmh! Mi nahis kama mke akihisi hasira zake haziwezi kuondoka bila kupiga, basi ampige wakiwa faragha! Hii inafaida nyingi sana! 1 kulinda heshima yenu.
2 kulinda penz lenu.
3 kupokewa vizuri ujumbe unaokusudia kuutoa... Etc.
Upande wapili, nigusie kwa Mume!
Ukijua mkeo anatabia ya kukupiga popote. Tahadhari sana na matendo yako! Ukiliepusha hili na bado unachapwa makofi ya kipuuzi, usikae kimya! Sio upige makelele au umpige! Mzuie kwa nguvu (reasonable) mpeleke faragha, then mwambie "Nipige hapa"!!!!
Sijui unalionaje hili Mimizo?
ha ha ha wanataka kutufanya boxingbags...
sie tupigwe tuna nini
na nyie msipigwe mna nini?
na bado tutawabonda mshike adabu zenu!!