Binafsi huwa siishi na mwanamke kama dictator, nikikosea naomba msamaha, na yeye akikosea anatakiwa kuomba msamaha, though sitegemei akosee kwenye issue za cheating kwasababu hizo hazina mjadala. ila mimi alishawahi kunifumania na niliomba msamaha tukayamaliza.