Mwanaume kumpa au kutompa pesa mpenzi wake

kama mwanamke ana kipato chake simpi hela hata kama mimi nimemzidi bado simpi coz ana income yake na mi nina yangu sema tu...tukiwa tuko mahali sema tunakula au tunafanya shopping nitalipia...tukienda mahali akaona kitu anapenda nitamnunulia so in short atatumia hela yangu indirectly...lakini sio nitoe wallet yangu nimwambie dada hii hela hapa chukua kaitumie hiyo sifanyi kwa sababu unaweza ukampa hela hivyo kumbe ana kibitozi pembeni ndio mwizi wako we ukiondoka wanaenda kutumia hela yako pamoja hiyo biashara sifanyi....
 
Haaaaaaaaaaaaaaaaaaah... kweli ww mtoto wa mjini.

Mwaanume kumpa mke wake pesa ni lazima, kama ni gf akalale mbele simpi hata siku moja.

Mke wako hata kama unamshahara mdogo kuliko wake, ni lazima umpe pesa.

Ndo mana mimi nikisema gf simpeleki out wengine wakaniona mshamba...Mimi gf simpi pesa yangu hata siku moja.

Kama ni mke wangu achukue zote tu hata nikose za mlo sitajali, sababu ni mke wangu :A S thumbs_up:

we balaa, ila nimeipenda.
 
Kusaidiana muhimu,ukiwa mwanaume lazma uonyeshe nafasi yako kama mwanaume ukishindwa wenzio watakusaidia..
 
kama mwanamke ana kipato chake simpi hela hata kama mimi nimemzidi bado simpi coz ana income yake na mi nina yangu sema tu...tukiwa tuko mahali sema tunakula au tunafanya shopping nitalipia...tukienda mahali akaona kitu anapenda nitamnunulia so in short atatumia hela yangu indirectly...lakini sio nitoe wallet yangu nimwambie dada hii hela hapa chukua kaitumie hiyo sifanyi kwa sababu unaweza ukampa hela hivyo kumbe ana kibitozi pembeni ndio mwizi wako we ukiondoka wanaenda kutumia hela yako pamoja hiyo biashara sifanyi....

mtotowamjini, Unless you have trust issue otherwise I don't see why not?
 
Last edited by a moderator:
Mwaanume kumpa mke wake pesa ni lazima, kama ni gf akalale mbele simpi hata siku moja.

Mke wako hata kama unamshahara mdogo kuliko wake, ni lazima umpe pesa.

Ndo mana mimi nikisema gf simpeleki out wengine wakaniona mshamba...Mimi gf simpi pesa yangu hata siku moja.

Kama ni mke wangu achukue zote tu hata nikose za mlo sitajali, sababu ni mke wangu :A S thumbs_up:

fazaa, kwahiyo upewe mbunye bure?
 
Mwanaume kutoa ni wajibu hata kama hunakipato cha zaidi, hiyo inakujengea heshma wewe katika nyumba hata kama sio cash inaweza kuwa hata vijizawadi.

Unaweza mpa mke hata ile nauli ya kupanda daladala akienda kazini, pesa ya saloon sio kilasiku vitu vidogo vinaweza kukupa heshma kubwa as a nature mwanaume is provider na kama hutoi uncle eti madam anakipato zaidi yako hiyo ndoa ina walakini hapa simaanishi pesa ya nyanya na vitunguu ambavyo atakupikia ule wewe na watoto wako.
 
Tabia inajengwa, na malumbano yote haya yanatokana na nyie wanaume kuwajenga wanawake ni watu wakupewa tu. sasa kama utamjenga Gf au mke wako kwamba yeye pesa zake ni zake na zako ni zenu atakua hivyo muda wote. Ila ukimjenga pesa zako na zake ni zenu wote basi atakua hivyo. Kinachotakiwa ni mwanaume kuonesha mfano kwa vitendo, mbona wanawake waelewa sana, tena ni watu wanaoweza kuishi kufuatana na kipato kilichopo. Ukita azitumie anaweza sana, ukitaka afunge mkanda anaweza sana hadi utakoma. Kwa hiyo kumpa pesa au zawadi mkeo au GF ni utamaduni tu, tatizo hujui anayeanza nae alikua anamjali vipi huyo mdada. Ila ki ukweli wanawake wengi wanapenda zawadi hata kama amekuzidi kipato, ni ishara ya upendo kwake.
 
sasa fazaa ukiwa na gf halafu ukashindwa kumsaidia coz c mkeo unategemea nani amtunze?,ukitunziwaje au wewe ni mtumiaji2
Ikiwa na gf na hana pesa, asahau kama atakuwa gf wangu :bounce:
 
kama mwanamke ana kipato chake simpi hela hata kama mimi nimemzidi bado simpi coz ana income yake na mi nina yangu sema tu...tukiwa tuko mahali sema tunakula au tunafanya shopping nitalipia...tukienda mahali akaona kitu anapenda nitamnunulia so in short atatumia hela yangu indirectly...lakini sio nitoe wallet yangu nimwambie dada hii hela hapa chukua kaitumie hiyo sifanyi kwa sababu unaweza ukampa hela hivyo kumbe ana kibitozi pembeni ndio mwizi wako we ukiondoka wanaenda kutumia hela yako pamoja hiyo biashara sifanyi....

hii namimi ndio nafanya..sitoi cash unless kuwe kuna shida fulani
 
Hela sio sehemu ya mapenzi bana...............anahitaji aseme kama ni sound reason atapata kama vipi atachinjiwa baharini na sababu atapewa akinuna........am a check where the buddies@

Kwa mke inategemea na sababu as well............we all work, namnunulia kila hitaji lake, nanunua vitu vya nyumbani monthly sasa hapo hela ya nini kama sio kuchimbana majina ya utotoni?????
 
Mi huwa naamini mkiwa upenzini mnatakiwa mSUM fedha zenu pamoja ili kufinance economic activities zenu bila kujali huyu ana kipato hiki ama kile mfano imetokea labda mmoja wenu anataka kununua kitu mnashirikiana kukinunua coz wat i believe love is life.Sio busara kukeep costant eti mwanaume lazima ampe hela mwanamke ndio maana ndoa za kibongo hazidumu kwa kuendekeza material things kutawala mapenzi yao kabla kutanguliza mapenzi ya kujitoa kwa hali zote kwa ajili ya mpenzi wako bila kumtegea mwenzako.
 
mbunye na dudu huwa ni buree kwa wapenzi,napokupa hela simaanish ndo nalipia ile mbunye uliyonipa bhana ni katika kujali na huduma kwa mteja,mpenz wanaouza wapo ohio kuleee
 
Kwa kifupi nimegundua wapo wanaume wabahili humu,sasa ukiambiwa hujui kutunza unalalamika mwisho wanaojua wanakuchukulia...teh teeeh!!wanaume kuchochea ndio huko na mwanamke anajinsi yake ya kuchochea.
 
Back
Top Bottom