Bobdon
Senior Member
- Jun 8, 2017
- 197
- 287
Umario una raha yake wakuu.
Kuna watu wamejenga nyumba kubwa sana na kutajirika kwa sababu ya Umario!
Maisha ni ujanja tu lengo utoboe uwe katika levo fulani.
Isipokuwa tu ujanja huo usishushe thamani ya utu wako na uanaume wako.
Mimi mpaka leo hii mama queen wa Masaki kaninunulia gari ya kutembelea hapa mjini, nyumba nimejenga na nina bar kubwa tu mjini kwa sababu ya Umario wangu.
Wewe baki unaleta dharau watu tunapiga hatua wewe unabaki kutembea kwa miguu mpaka izame tumboni na kunuka vikwapa!