Laigwanan76
JF-Expert Member
- Nov 21, 2010
- 551
- 153
Duh,ila jamaa wameinvest nao,maana kupiga gym mpaka kuwa baunsa wa kuvutia si kazi ndogo nayo
Duuh, sasa hawa tutawaitaje ?ni machangudoa wa kiume au tuwatafutie jina lingine?hahahaaa
Ukienda kwa wenzetu Zanzibar hili ni jambo la kawaida kwao

Miteja yote ili ya stone town???? .. Wazenji kwa kujiuza {wanaume na wanawakeAhahahaha!! Zanzibar hakuna mwanaume kujiuza kwa jimama. Huu uchafu upo kwenuuuu kwenye walevi wengi!! 🙂
Una uhakika na unachokiongea!!! mleta uzi katoa maelezo yanayojitosheleza na wewe tungeomba source mkuuUkienda kwa wenzetu Zanzibar hili ni jambo la kawaida kwao
Ukienda kwa wenzetu Zanzibar hili ni jambo la kawaida kwao
Hamna baunsa wa kujazia bila vyuma,aliye natural basi hana muscles ila kibongeHahahaaa ,wengine wamebahatika kua na mvuto bila hata ku invest huko kwenye gym.
Kawaida kivipi? Unamanisha wanafanya hivyo au?
Ahahahaha!! Zanzibar hakuna mwanaume kujiuza kwa jimama. Huu uchafu upo kwenuuuu kwenye walevi wengi!! 🙂
Nakushangaa weye sababu huko znz ndio kwetu na sijaona vituko hivyo mie,ndio kwanza nikusikie weye...Ndo maanake na wala hawashangai kama mnavyo shangaa nyie wakuja
Nakushangaa weye sababu huko znz ndio kwetu na sijaona vituko hivyo mie,ndio kwanza nikusikie weye...