Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,020
- 22,078
Huu uzi umeandikwa na jinsia sidhani kama ya kiume
Wazee wa mtumeeeWeee mambo ya bisibisi ya mbavu nani anayataka?? Hasara Roho pesa makaratasi acha wachukue
Tatizo la wabongo ni kujibu kitu tufauti na hoja sema mimi siafiki au naunga mkono sio kuleta mambo ya jinsia kifupi na gobole tena linarisasi nyeupe nzitoHuu uzi umeandikwa na jinsia sidhani kama ya kiume
Wacha wachukue hata nguo waniache uch mambo ya kujifanya John cena mixer komando kipens sitakiWazee wa mtumeee
Wewe ndio unasimu ya laki na nusu ila kwa kawaida sio usauliwe kizembe unakaza mpaka jasho la mwisho kwamba hapa halitete sio unatekenywa unatekenywa kama engine ya center
Weee mambo ya bisibisi ya mbavu nani anayataka?? Hasara Roho pesa makaratasi acha wachukue
NikweliNimekuelewa hila kuna sehemu inafika unaishiwa nguvu mimi jangwani nilitaka kukatwa mapanga pale usiku
Ww unaongea hivyo kwasababu hujawai wekewa panga shingon unasimuliwa
Mmh!!hapo sasa.. lak 3 wakikutia majeraha ndio utaona ndogo.Na hapu mtu una simu ya laki tatu upambanie simu badala ya uhai izo akili
Mmh!!hapo sasa.. lak 3 wakikutia majeraha ndio utaona ndogo.


hili jalamba sitaki linikute tenaTatizo la wabongo ni kujibu kitu tufauti na hoja sema mimi siafiki au naunga mkono sio kuleta mambo ya jinsia kifupi na gobole tena linarisasi nyeupe nzito