Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,337
- 9,079
Anyway leo nipo timamu nimeamua kutoa maoni au ushauri
Sifa ya mwanaume ni ujasiri hata kama unajua hapo hutoshi
Naongea na wale wa mbagala, temeke, tabata, mbezi au sehemu yeyote mnayosema kuna vibaka
OK ponti ni mwanaume unakabwa na wahuni tuwili unalegeza sauti (kama amina au aisha) na kusaula haupo serious pambana kwa vitu vyako mpaka jasho la mwisho unakuwa shy kujitetea kama demu kwenye mapengo ya sitting room tujikaze
Kingene ni hiki unamuuliza swali umevamiwa na majambazi wanakupa option mbili wakuue au watatue uzi usioshoneka kinachojiita kidume anajibu SIKU MOYA MOYA SIO MBAYA
Khaaaaaa
Sio uanaume kubali kufa kishujaa
TUOE
JENGA FAMILIA
nihayo tu
BM
🍻