Naona hatuelewani kaka yangu wewe ulisema je wakipewa kazi za kiume? ndio na mimi nikakujibu je na sisi tukiwapa kazi za kike ndio tukafikia huko kwenye kuzaa kama kazi mojawapo ya kike my dia.
Nikija kwenye ishu yako ya vocha sio kazi ya kike wala ya kiume hata mimi nikiwa na mpenzi akiishiwa wala sio ishu kumpa vocha hata pesa kama ninayo nampa. Turudi kwenye mada huyo kaka anaemzungumzia sweet dada sio mstaarabu hata kidogo msome vizuri wakiongea kidogo mara amwambie credit imeisha, mara nitumie vocha hata wewe unaetetea sidhani unaweza fanya hivyo. Huyo ni baadhi ya wanaume wanaojitokeza siku hizi wanaopenda kulelewa bila sababu za msingi, ikiwa hata wanaume wanakereka tukiwaomba vocha hovyo tena inawezekana akawa mpenzi wako kabisa je mwanaume inakuja?
Kama hatujaelewana hapo basi nimemwaga manyanga
:busu ukiona boxer nzuri huko usiache kuninunulia eeeh?:lol:ndo maana sijawahi kujuta kukupenda....una akili mno na busara!!
Sasa ndio unaongea, saa zote ulikua wapi
Naomba vocha Husninyo
umeona eeh? na ya kununua boxer!!!:washing:
kama ana hela za mawazo kwenye fone y ana call? c a2me sms tu....yaan hii ni gia ya kumkimbia vibaya sana...m delete kabisa...hapo mpo mwanzo mkiyaanza mapenzi itakuwaje? yaan sio wapenzi but ana kubomu mkiwa wapenzi itakuwaje?....eti sweet na wewe ulishawahi kumuomba voucher?
Imebidi nao waanze kuomba maana wadada wengine nao wamezidi!Hua wanatumia kipindi cha kutongozwa kumchekea mwanaume ili aendelee kuomba vocha hata kama hamtaki!Kama huna muda nae mwambie mapema ili asiendelee kumaliza vi300 vyake..kama unaelekea kumpa ndio mtumie tu bwana!
Wanandugu wapendwa hope mu wazima..
Hee!!nimeshangazwa na kitenndo cha mwanaume mmoja eti ananisumbua kwa muda wa mwezi kwa madai ananipenda..sasa cha kushangaza na ambacho sielewi..kila akipiga simu ataongea dakika tano afu ananambia"please call me back credit inaisha"...
hee!!mi nabaki kutoa macho huyu vipi??na mi namwambia hata mie yangu imeisha basi nikisema hivyo anaendelea kuongea..
cha kuchekesha leo asubuhi kanipigia tena simu kaongea mwisho akasema "nitumie vocha ya 2000 basi"..hee!!mi nikabaki mdomo wazi,nikamwambia sina hela..akakata simu.
Jamani nimeshangaa ajabu sijawahi kuona dunia nzima mwanaume anakuwa hivi especially akiwa anatongoza..huyu hata kama anataka kunifanya mie 'kitonga' si angesubiri basi akubaliwe..akaaa!!kani put off mnooo na kaniharibia siku yangu ya leo ..mxiiiiiii
Wanaume ndo mnaenda wapi kwa hii style jamani aii
Na hii nayo unafagilia kuwa ni akili siyo?Wanawake tunapenda kudekezwa
Na hii mnaona poa tu, eeh?
mwingine ataenda ku kopa fedha ili akufurahishe
mshauri awe anakupigia usiku kuanzia saa 6 kwa tigo kama hawezi piga mchana
Mwambie "ananitimizia mpaka vocha anatuma badala ya kuomba!We unaweza?"Akiwa na ubavu wa kukwambia ndio mwambie akurushie buku 10 saa hiyo hiyo na kama hawezi achape mwendo!nimeshaongea mpaka mate yametoka kuwa simtakii..ye analazimisha eti 'kwani shemeji anakutimizia mahitaji yote'...
hahhaha wanaume bwana...:lol::lol:
Mwambie "ananitimizia mpaka vocha anatuma badala ya kuomba!We unaweza?"Akiwa na ubavu wa kukwambia ndio mwambie akurushie buku 10 saa hiyo hiyo na kama hawezi achape mwendo!