Nahic n tamaa,kuna mmoja namjua yuko 36 now,ana mke na mtoto,hajatulia bado na kipind kabla hajaoa alikua mtu wa wanawake sana,sas huyu utasema hakutumia ujana wake?na kutumia ujana vizur ni lazima kuwa mtu wa wanawake?na ndiyo maana mkaambiwa tumieni ujana wenu vizuri//? Inawezekana wa namna hiyo hawajala ujana wao vizuri bado wanavutiwa kufanya vitu fulan ambavyo hawakufanya wakati wa ujana
Umenena vyema rafiki ni roho ya uzinzi inakua imetawalaNi roho ya tamaa inayowasukuma kufanya hayo haiondoki tamaa hiyo kwa sababu ana umri mkubwa! umri mdogo! anamke mzuri sana! au ana wake wengi sana,ndo maana unakutaanayo yote hayo bado anasaka wanawake wengine, inakiwisha kwa kuoshwa kwa damu ya Yesu. vinginevyo hiki ndo kinatokea ".........lile ninalotaka kulifanya silifanyi....ila nisilotaka kulifanya nalifanya...ni kwa sababu ya dhambii inayokaa ndani yangu"
Habari zenu wana JF,nimekua nikijiuliza bila kupata jibu kamili,ivi mwanaume ambae hajatulia/anaependa kua na mahusiano zaid ya mwanamke mmoja je n tabia ya mtu au umri?kipind cha nyuma nlikua nikiamini mwanaume akifka miaka kuanzia 30 anakua ametulia na mtu mmoja since anakua amemaliza michezo yote,ila sasa napatwa na maswali since nmekutana na watu above that age wana familia kabsa lakini stil anawatu wengne nje,imebid niulize ivi machojuu juu n tabia ya mtu au umri wa mtu?
He kumbe!Wanaume kuwa na mahusiano zaidi ya mwanamke mmoja ni asili yetu, angalia kwenye familia yako, jamaa zako au jirani zako utaona wababa wengi ktk familia hizo wanawatoto na wamama tofauti, hii ni tangu enzi za mababu zetu na halitokwisha leo wala kesho. Wanaume wote tumekwishawahi
kuwa na mahusiano na mwanamke zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja, kama hutaki sikulazimishi.
He kumbe!
Habari zenu wana JF,nimekua nikijiuliza bila kupata jibu kamili,ivi mwanaume ambae hajatulia/anaependa kua na mahusiano zaid ya mwanamke mmoja je n tabia ya mtu au umri?kipind cha nyuma nlikua nikiamini mwanaume akifka miaka kuanzia 30 anakua ametulia na mtu mmoja since anakua amemaliza michezo yote,ila sasa napatwa na maswali since nmekutana na watu above that age wana familia kabsa lakini stil anawatu wengne nje,imebid niulize ivi machojuu juu n tabia ya mtu au umri wa mtu?
Pole sana mdau kama ww ni muathirika wa hili! Kifupi ni kwamba, wadada wengi katika ndoa wameonekana kubweteka baada ya kuolewa! Wadau wengi wanasema akina wife kibao akishajihakikishia mme ni wake tayari, basi anaacha ubunifu wake wa awali wa kulinogesha penzi, ataanza dharau kwa mme, mara unyumba wa mgao, mara mashoga ndo anawaamini zaidi kiushauri, mara anataka u extend service mpaka kwa shangazi yake, kibaya zaidi anajinenepeaaaaaa.... Kama pipa, hataki shida ya kufanya mazoezi eti kisa, mke wa ofisa! Ahhhh..... Badilikeni! La sivyo mtasaidiwa na small house!