Mwanaume, kiumbe adimu aliye hatarini kutoweka

Wanaume wanaoniboa ni hawa wanaowekwa unyumba huku ukimwita mwanaume mwenzio bebi et unamgombania mwanaume mwenzio na kumuonea wivu wa mapenz mwanaume mwenzio inauma sana
 
Jinsia ya kiume inayovaa hereni, inayovaa nguo za kubana kama dada yake
Inayocurry nywele
Inayojichubua hao ni wanawake sema tu walikosewa jinsia
Wanatamani wawe wadada
 
ila haka ka wanaume kuvaa chupi za wake zao kapojeeeeeee maana kamezidi vile majuzi kuna workmate ile kuinama kajipigilia kufuri la mke wake wote chekooooooooo
 
Ntatud Leo mtanikoma tena nna mahasira yangu leo

njoo najua umeenda location ku upload mafoto hahahaha fb/insta itakoma leo hahahahahaha kakunyima nini alichoka msameheπŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰
 
Nyoko zao wote

nyoko zenu na nyie mwanaume bado hafanani na nyie tutaendelea kuwaongoza mnatuletea za beijing ndio maana hata uwe na pesa vipi unamtafuta akuongoze majimama hayawezi kujiongoza yanamfuata leader men mpo hapo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…