Mwanaume: Kipimo cha akili yako ni mwanamke wako

Mwanaume: Kipimo cha akili yako ni mwanamke wako

Sasa mwanamke ana kuwa na malengo gani ya zaida ukiondoa lengo la kupata mwanaume ambaye atamuhudumia ki fedha?

Women look for the security that money provides its that simple so hapo hamna ugumo wowote ule wakuchagua.
Mi naona sie ni ngumu maana hiyo security haina guarantee na hujui life span yake, pia sie tunasubiri kuanzwa tofauti na nyie mnaoanza

La msingi ni maridhiano yenye upendo kati ya mke na mume, hata Kama Kuna sifa nyinginezo ila hakikisha upendo unakuwepo
 
Case closed na ukiandika umeandika hufuti.
ke'' wanapenda familia yenye shule na hela! kuepuka usumbufu wa wageni tegemezi wasio na kitu, kutoka upande wa mwanaume, atajua watakacho pata kitakuwa chao sababu ukoo unaahueni ya maisha!

Mwanzoni ukijifanya huna kitu atakudharau sana, siku akijua tu familia yako au ukoo wako uko njema kuliko wa kwao, utashangaa!!! atakavyo fanya mchakato wa kuolewa mapema na kurekebisha makosa yake ya awali, sometimes na kadawa kao pendwa ka mvuto!

Atawashawishi wanafamilia wote hata kwa hela ili wamkubali. mara vitenge, mara suti mara magoti mpaka chini, mara shemeji ntu kapigwa ofa ya bia mwezi mzima nk,
 
Mi naona sie ni ngumu maana hiyo security haina guarantee na hujui life span yake, pia sie tunasubiri kuanzwa tofauti na nyie mnaoanza

La msingi ni maridhiano yenye upendo kati ya mke na mume, hata Kama Kuna sifa nyinginezo ila hakikisha upendo unakuwepo
Hapa duniani hakuna guarantee kwa vitu vingi ila uwezi kusema eti sitaolewa na mwanaume mwenye mihela kisa hamna guarantee.
 
si wanaume wote wenye kuweza kutafakari kwa upana huo
 
Iwe umeoa au unatarajia kuoa!
Iwe ni mchumba au dem wako!

Aina ya mwanamke ulienae au unaetarajia kuwa kuwa nae ina determin haiba yako, wako baadh ya wanaume husema kuwaambia wanaume wenzao '' aisee una bahat wew! N.k ''

Faham; Bahat ni kitu kidogo sana kweny mafanikio, nyuma kuna jitihada kubwa ambayo mtu ameifanya kufkia kupata mwanamke mwenye akili au makini (lkn si akili ya darasan, nakusudia ya maisha), unaeza kumuona mwanaume ni wakawaida lkn ktk issue ya kuchagua mwanamke timamu ni siri ake, kaingia chimbo hasa, analysis za kutosha n.k

Kwa upande wa wanawake wao hua mara nyingi wanamalengo hata kama ni madogo lkn kias fln wanafanikiwa kumpata wanaemtaka, Ila sis wanaume tunahadaiwa sana na

Kupata mwanamke makini hasa ktk zama hizi tulizopo inahitaji kupiga msuli sana (tafsida hiyo)

Sent using Jamii Forums mobile app

Ulichozungumza ni kweli kitu nilichojifunza broo

Mwanamke hubadilika kutokana na mazingira nakumbuka nilikuwa nina Demu wangu alikuwa ananipenda kweli kweli kipindi hana ajira ila alivyokuja kupata ajira serikalini

Kilichofata tuliachana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu sio kwamba ulijishtukia?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom