tena mbaya zaidi ni pale unapokuta mtu amekuadd tu bila kukuuliza tena vitu vya kujadili inbox huko wao ndio wanaleta kundini...ni ku-exist tu maana hamna namna nyingine sasa
Bado magroup
hivi social network ndio tovuti za kijamii? Msaada tafadhali!
sio kweli. internet ni network of networks. kwa iyo sio mtandao mmoja. na world wide web ni moja ya huduma zinazopatikana kwenye internet ambapo iyo 3w ndio kuna tovuti izo za kijamii na zingine
Mtandao ni mmoja tu "internet" au "world wide web", hizo zingine zote ni tovuti tofauti za kijamii.
10.Pera4.Twitter
5.tango
6.BBM
7.viber
8.sype
9.JF
Lol nimeongeza
Wacha porojo wewe.
Internet ni mtandao mmoja tu www.
Utawadanganya wapumbavu na malofa tu.
Mkuu nimeona 1st AIDkafafanuaUnajuwa maana ya www?
interconnection network of computer ..abbrvtn ni internet bila shaka. Not to be confused with the World Wide Web. The Internet is a global system of interconnected computer networks that use the Internet protocol suite (TCP/IP) to link several billion devices
worldwide. It is a network of networks then kuna WWW
The World Wide Web (www, W3) is an information space where documents and other web resources are identified by URIs, interlinked by hypertext links, and can be accessed via the Internet.
It has become known simply as the Web.
Sio wanaume tu, mtu yoyote anayejitambua hawezi kuwa kila social network.
1. Instagram
2. Facebook
3. Badoo
4. JF
5. Tweeter
6. ....
Natatizika kidogo.
Kibaya zaidi na sipendi mwanaume kutupia tupia picha instgram, kila afanyacho anatupia picha huwa nakereka sanaaaaa, jitu halijifunzi kitu lenyewe ni kupost upumbavu tu, hizi social network tumezipokea tofauti sana.
Yaani hakuna kitu kinachonikera kama hicho.