Mwanaume KAMILI

Mwanaume kamili lazima awe na afya nzuri, kuhimili changamoto zinazo wakabili wanaume.

Afya sio kitu ambacho tunaweza tukakicontrol muda wote kwahiyo mtu asipokua nayo bado 'ukamili' wake UNAKUWEPO. . haupungui wala hauondoki.
 
Umenena vema kassoro hapo kwenye red:
Mwanaume kamili anapaswa arudi home ameutwika japo kiduchu, vinginevyo atapewa vitunguu atengeneze kachumbari.
Mwanaume kamili hana muda maalum wa kurudi nyumbani, anarudi pale "wanaume kamili" wenzake wanapomaliza vikao vya bia au pesa ya bia kuisha.

Hapo kwenye blue: Mwanaume kamili hawezi kuoa mwanamke mjinga atakayemfuata baa wakati akiwa bize na wanaume kamili wenzie.
 
salama big sisy??
naona umemdescribe shem kaizer vizurii kbs lol.
 
Hapo mwishoni nimepakubali...Big up sisy!!
 
Word.....!

1.Mwanaume kamili ni yule anayemchapa makofi mke wake pale anapoleta upumbavu
2. Mwanaume kamili ni yule mwenye nyumba ndogo
3. Mwanaume kamili ni yule anayemzalisha mwanamke watoto zaidi ya watano
Gadem Bingo!!
 

kazi ipo hapa aisee .
bibi ana kazi tena ya ziada nishaona.
 
Maneno mazuri haya Lizzy asante,nasubiri mwanamke kamili...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…