Mwanaume kamili hahongi wala hahudumii mpenzi wake

Una mke, unaenda kuhangaika nje kutafuta nini? Mengine kujitakia, ni kweli wanaume tunatamaa, lakini ni mtihani lazima tuushinde mazee, utapiga nyapu za nje mpaka lini unapata nini. Am sure, kama kila mtu akijiuliza why anachepuka basi atapata majibu hakuna haja ya kuchepuka.

"Shida sisi tunaendeshwa na nafsi, tumeshindwa kuziendesha nafsi zetu"

Hela unayohonga kwa kimada, ukamnunulia mkeo kitenge, hela ya kwenda kulala hotel ukampa bimkubwa wako, hela ya kuzini ukaenda toa msaada kwa watoto yatima!!!?
Wanaume tunachepuka sabab ni ngun sana kula nyapu 1 miaka nenda rud....

Its immoral ila ndo hvyo...bro wangu mmoja ana watoto wa3 na mkewe wamedum kama 13 yrs anakwambia dogo inafika kipind miez mi3 mizima akimwangalia mkewe yan hata kama babu alikua kasimama ile ya asubuh .inalala

Ila huyo mkewe sasa ukimwona..ni chuma kikal..sasa unajiuliza ni nin hik
 
Hatukatai kuchepuka tunachoshauli kujitoa sana kwa mchepuko na kujinyima mwenyewe
 
Siku hizi mapenzi ni kuhudumiana leo sina nipe ninacho fresh.Kuendekeza mbunye halafu najisahau hata kununua soksi ni ufala
 
Maskini jeuri,,,ubahiri utakuua
Mtoaji
e88f9b22b8283073ab208f5d4f65e480.jpg
 
Wanaume tunachepuka sabab ni ngun sana kula nyapu 1 miaka nenda rud....

Its immoral ila ndo hvyo...bro wangu mmoja ana watoto wa3 na mkewe wamedum kama 13 yrs anakwambia dogo inafika kipind miez mi3 mizima akimwangalia mkewe yan hata kama babu alikua kasimama ile ya asubuh .inalala

Ila huyo mkewe sasa ukimwona..ni chuma kikal..sasa unajiuliza ni nin hik
Alimuoa kwa kuongozwa na tamaa za mwili badala ya Upendo. Tamaa za mwili zina expiry date
 
Sasa utachepuka bila kuhudumia mkuu...labda uwe unat.**a vitu vya ajab ilimrad ufanye tendo
Muhudumiane sio kuhudumia mfano leo anashida ya teni mpe kesho unashida na faru akimuomba akupe sio penzi ndio liwe biashara mara kumi ukanunue barmed ule ulipe utembee zako sio hamna kambi hapo
 
Back
Top Bottom