Hio sio sababu angekuwa mwanamke kajituliza nadhani hata billion hazilipi.kwa wanaume wa sasa watazingoja hizo 80m
Umepewa taarifa kuwa mkeo wa ndoa kakaa na hawara yake bar, ile unafika pande zile unamsikia hawara yake akimwambia mkeo "beby chukua hizi laki saba kampe mumeo mwambie kesho ila ikifika mwisho wa mwezi nitakupia tukutane nikupe milioni 80 umpatie afanye biashara ili awe bize asitusumbue baby wangu" Je! kama ndio wewe utaanzisha mtiti au utazisubiri hizo milioni 80?
Hio sio sababu angekuwa mwanamke kajituliza nadhani hata billion hazilipi.