Mwanaume kabla haujaoa, tembelea kwanza Newala. Mwenzenu Tayari nipo Newala toka juzi usiku wa manane

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,269
27,628
Majuzi niliandika Uzi humu nikisema nataka kufanya utalii wa ndani mikoa ya kusini then nikaomba suggestion nianze na Newala au Songea?

Mdau mmoja akasema niende Songea sintojuta.

Mwingine akaniambia kama nawataka wamakonde haina haja ya kwenda Newala bora niende Masasi kwa sababu Masasi kumechangamka zaidi kuliko Newala na kuna wamakonde wa kutosha tu .

Nijuavyo mimi Masasi ni kwa wamakua but nevertheless I will go there too kwa sababu kutoka hapa Newala hadi Masasi ni lisaa limoja tu.


Nilikuja na Mahuta Express nikaingia juzi hiyo mchana.

Jana nikabahatika kukutana na mtoto wa kimakonde.

Sitaki kukwambia kitu gani kilitokea.

Mwaka 90 kuna msukuma mmoja alikuja Dar akanywa soda kwa mara ya kwanza alipomaliza kunywa soda akamwambia shemeji yake ( mume wa dada ake ) " shemeji naomba mbegu ya hizi soda nikapande kijijini shinyanga"

So do I declare that kama wa dada wa kimakonde wangekuwa na mbegu basi ningewapanda Shamba zima shambani kwangu kule Homboza...

Itoshe kusema kwamba wa dada wa kimakonde nyinyi ni hatari.

Mungu awabariki sana.

# halafu wa dada wa kimakonde hawanaga alama za weusi katikati ya mapaja " dark underthighs" wala michirizi kwenye mapaja.
 
Mimi nilienda MANGAKA/Nanyumbu nako si haba, nilikula demu mmoja matata sana. Kabinuka vizuri, shanga za kutosha, baada ya kuchoka nikampasia mwamba nae akaendelea. Bei nazo rafiki
 
Tuma picha tuone
 
Umekutana na mmoja....michirizi wengine umejuaje ? Ume generalise
 
Uzi huu utajaza kapu la mama mpaka mwenyewe utajuta.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…