Mkuu kwan mnalazimishwa?Bora uwaambie...
Msitufanyie hivo jamani
Kuomba hela ni sehemu ya mapenzi?Kuombana hela ni shm ya mapenzi kwa hiyo unataka aombe kwa nani?
Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
Usiegemee sana kwa wanaume vitu vingine wanawake nao wanatakaHabari wanaMMU.
Wanaume wamekuwa na tabia ambayo huenda hawajajua madhara yake au hawajafahamu nini matokeo ya kile wanachokuwa wanakifanya kwa wakati husika huko mbeleni.
Inatokea anakuwa na mahusiano na mwanamke/msichana na katika hayo mahusiano wakati mwingine anakuta amemdhalilisha mwanamke kiasi kwamba thamani ya huyo mwanamke inakuwa imepotea katika jamii yake.
Kwa mfano, unampiga mwanamke picha za uchi na kuzisambaza mitandaoni.
Wakati mwingine unamuingilia kinyume na maumbile na baadaye unaamua kumuanika mitandaoni kwa sababu ya kutofautiana kwenu.
Huyu mwanamke uliyofanyia huu uchafu sasa inafikia wakati anapaswa kuwa mke wa mtu na kuzaa watoto,
Jiulize hii laana ya kumtia doa mwanamke ambaye hukuwa na mpango nae kimaisha anaibeba nani maana ni kwamba mwanaume mwenzako unakuwa umemtwisha msalaba usiomuhusu.
Hakika hii LAANA itakufikia.
Kama unataka mwanamke bikira, mzae, umlee , umuoe! Lakin aliyezaliwa na mwingine acha kuweka guarantee ya bikira!Utakapo kuja kuoa Mwanamke asiye Bikra ndio utakuja kujua umuhimu wa kula cha mwenzako Mapema!
Huo msemo wa kusema ukitulia nawe utapata aliyetulia naona ulifanya kazi enzi hizo za mitume lkn kizazi hiki si kweli napingana na maandishi. Jaribu kuchek ndoa nyingi unakuta mmoja ametulia lkn mwengine kiruka njia. Kizazi hiki kinaenda indirect proportional na hayo maandishi yenu.Kama unataka mwanamke bikira, mzae, umlee , umuoe! Lakin aliyezaliwa na mwingine acha kuweka guarantee ya bikira!
Ukitaka umpate mwenye bikira na wewe baki na bikira yako! ! !
Maana hata maandiko ya Mungu yanasema utapewa wa kufanana naye!
Ukiruka utapewa aliyeruka, ukitulia utaletewa aliyetulia
Hayo maandishi yanafanya kazi ukimshika Mungu tena umshike kweli!Huo msemo wa kusema ukitulia nawe utapata aliyetulia naona ulifanya kazi enzi hizo za mitume lkn kizazi hiki si kweli napingana na maandishi. Jaribu kuchek ndoa nyingi unakuta mmoja ametulia lkn mwengine kiruka njia. Kizazi hiki kinaenda indirect proportional na hayo maandishi yenu.
Ni kweli..."Being Patient" is the most important thing here. I hv an experience.Hayo maandishi yanafanya kazi ukimshika Mungu tena umshike kweli!
Usiwe vuguvugu!
kuna wakati network zinakatanajiuliza sana kwani wakati akipigwa hizo picha hakujua?
wanaona raha wanavyopigwa hizo picha, mbona wenzao wanakataa... tena wanakua wanakenua meno kabisamtu kama unapigwa picha za uchi kwa nini uweke uso??😀 kiherehere chake kimemponza na wakome kabisa....picha ya uchi apige uchi na si vinginevyo