Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,598
- 65,049
Kweli mkuu,wengine wanakimbilia kuoa elimu au kazi za wapenzi waoKuna tofauti kubwa Kati ya wanaume na wavulana.
Pesa yake hutakiwi kuipigia mahesabu mkuu, beba mabox,uza karanga,jibiidishe n.k ulee familia.kazi ya mke ni kukuzalia na kukufariji tu.Mke akiwa na kazi inapunguza mzigo mkuu, hata kama unamuhudumia lakini siyo kwa upana huo.
Nadhani wanaume wa kweli watakuwa wamekuelewa mkuuMwanamke hatakiwi kufanya kazi, hilo ni jukumu la mwanaume.
Yeye anatakiwa kukaa nyumbani kulea watoto na familia.
Kwa nini ung'ang'anie pesa ya mwanamke,umemsomesha wewe?Unaishi dunia ya mwaka 1990
Unaishi maisha ya ancestors wakoKwa nini ung'ang'anie pesa ya mwanamke,umemsomesha wewe?
Kweli mkuu,ukitaka kujua wanahitaji care....watazame kipindi cha uja-uzitoWomen should be handled with care.Tusiwasumbue.Wao ndio tuwasumbukie.
Sent using Jamii Forums mobile app
kama nyie mpo kwel 👏👏👏I appreciateWomen should be handled with care.Tusiwasumbue.Wao ndio tuwasumbukie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake wataanza kusapoti thread yako kisha wakifika hapa watakataa.Nadhani wanaume wa kweli watakuwa wamekuelewa mkuu
dem wako uyo🤔Kwani we ni ka demu? Shida ya nyie videmu tukiwachia pesa yenu mnaenda kuhonga mtombwe huko mitaani.
Wanasema,kama mwanaume huwezi kumuhudumia mpenzi wako au mkeo usioe...bora uishi mwenyeweUnaishi maisha ya ancestors wako
Komaa nayo