Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,787
- 58,398
Hapana hii naona si mara moja.mbona kisukari kimepanda kuliko mwenye uzi wake? au ni wew kwenye aidiii nyingine😄😄😄
Kuambiwa muda na kuanza kusema mtu kashiba..
Sasa ni Bora nikomeshe hii tabia mapema kabisa kabla haijafika mbali
😂😂😂😂