Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,185
- 103,520
Hiyo sentensi ya mwisho nakumbuka tulikubaliana tuwe tunawaambia watoto,wanawake na mama zetu tu.Na,hatukishia hapo.Tuliligusia hata neno "miss" kwenye sentensi kama "I miss you brother" nayo isiwepo kwenye misamiati yetu.Jipende mwenyewe, usimpe mwanamke upendo ambao haujajipa wewe mwenyewe.
Wanaume wengi wanaweka pembeni mipango, furaha na amani yao kwa lengo la kumridhisha mwanamke.
Ngoja nikwambie ukweli kuhusu mwanamke. Mwanamke haridhiki, hakuna ambacho utamfanyia kikamtosheleza kiasi cha kutohitaji tena umanyie zaidi ya hapo.
Hili kuwa salama zaidi mbele ya mwanamke ipe kipaumbele furaha yako, ipe kipaumbele amani yako, yape kipaumbele malengo yako. Mwanaume weka misingi na kanuni zako and jilinde usi-fall in love bila kutumia logic.
Hata story yake atakayokuambia iwe ya kusikitisha kiasi gani usiiguse akiba yako, usimuonee huruma, ni mtego huo kaka.
Usimtukuze mwanamke, sio mkombozi wako uyo, ni stranger tu uliekutana nae ukubwani akaamua kujiweka kwako kwa masilahi yake.
I love you, i love you my brother.
Uzii ufungwee!!!Ndio yani sasa hivi kila mtu anatakiwa afanye yale yanayompa furaha yeye, hata wanawake wanatakiwa wafanye yale yanayowapa furaha wao na si yanayowapa furaha wanaume, yani furaha yao ndio iwe kipaumbele kwao
Nilikuambia mimi nì master ukaniona nakula kwa macho 😛😛😛😛Aikooo.😂😂 Changes are real. Naona mtu flani anawekewa Sukari kwenye lips. Somo la jinsi ya kuiomba umesafisha cheti min ake 😂😂
SawaHiyo sentensi ya mwisho nakumbuka tulikubaliana tuwe tunawaambia watoto,wanawake na mama zetu tu.Na,hatukishia hapo.Tuliligusia hata neno "miss" kwenye sentensi kama "I miss you brother" nayo isiwepo kwenye misamiati yetu.
Subiri nikupe like yako kabla dada MSAGAJI Jadda hajaja kuharibu huu uzi Kwa comments zake mbaya zisizo na maadili,duniani hadi akheraJipende mwenyewe, usimpe mwanamke upendo ambao haujajipa wewe mwenyewe.
Wanaume wengi wanaweka pembeni mipango, furaha na amani yao kwa lengo la kumridhisha mwanamke.
Ngoja nikwambie ukweli kuhusu mwanamke. Mwanamke haridhiki, hakuna ambacho utamfanyia kikamtosheleza kiasi cha kutohitaji tena umanyie zaidi ya hapo.
Hili kuwa salama zaidi mbele ya mwanamke ipe kipaumbele furaha yako, ipe kipaumbele amani yako, yape kipaumbele malengo yako. Mwanaume weka misingi na kanuni zako and jilinde usi-fall in love bila kutumia logic.
Hata story yake atakayokuambia iwe ya kusikitisha kiasi gani usiiguse akiba yako, usimuonee huruma, ni mtego huo kaka.
Usimtukuze mwanamke, sio mkombozi wako uyo, ni stranger tu uliekutana nae ukubwani akaamua kujiweka kwako kwa masilahi yake.
I love you, i love you my brother.
Jamani 😅😅😅mnataka tuishi vipi sasaJipende mwenyewe, usimpe mwanamke upendo ambao haujajipa wewe mwenyewe.
Wanaume wengi wanaweka pembeni mipango, furaha na amani yao kwa lengo la kumridhisha mwanamke.
Ngoja nikwambie ukweli kuhusu mwanamke. Mwanamke haridhiki, hakuna ambacho utamfanyia kikamtosheleza kiasi cha kutohitaji tena umanyie zaidi ya hapo.
Hili kuwa salama zaidi mbele ya mwanamke ipe kipaumbele furaha yako, ipe kipaumbele amani yako, yape kipaumbele malengo yako. Mwanaume weka misingi na kanuni zako and jilinde usi-fall in love bila kutumia logic.
Hata story yake atakayokuambia iwe ya kusikitisha kiasi gani usiiguse akiba yako, usimuonee huruma, ni mtego huo kaka.
Usimtukuze mwanamke, sio mkombozi wako uyo, ni stranger tu uliekutana nae ukubwani akaamua kujiweka kwako kwa masilahi yake.
I love you, i love you my brother.
👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻Kwangu kujipa kipaumbele ni pamoja na kuiloweka , na ninapo iloweka lazima nipajali ili pazidi kunivutia zaidi, ni katika hali ya kujipenda zaidi mkuu😊😊😊😊😊
Ni fifty/fifty tu inatuongoza Galilaya.Jamani 😅😅😅mnataka tuishi vipi sasa
😅😅😅😅😅Ni fifty/fifty tu inatuingoza Galilaya.
Sante sana👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
Wanamuagiza awaongezee vinywaji mezani.Dah kwann nyuzi nyingi mnam tag huyo Jadda, ni star humu au?
Yan bahamedi sioWanamuagiza awaongezee vinywaji mezani.
Mambo ya 50-50. Weka kikojolea mezani niweke kikojoleo, weka hela niweke hela.Jamani 😅😅😅mnataka tuishi vipi sasa
Hapana.Ni mwanamageuzi mzalendo na mtetezi wa wenye kiu ya mabadiliko kuelekea 50/50 kuonana na mwokozi Yesu.Yan bahamedi sio
50 ni baharia mwandamizi mtu wa maana kabisa.Ujumbe kutoka kwa 50 cent.
"When a woman is broke , 99% of men will do everything to change her status . When a man is broke , 99% of women will walk out on him , dear young kings , be safe out there . Don’t go broke “
“There are women who will be with you even if you are broke , have no dollars or a home . That woman is your mother or sister . Most women these days walk out of your life the moment you got nothing"
Wajinga wamedanganywa mwanamke anahitaji matunzo na wao wanapelekwa tu na upepo kumbe wanawake wenyewe washaona mapenzi ni fursa ya kiuchumi.Mleta mada umeongea fact kubwa sana, unakuta lijamaa linajitutumua kwa manz anashindwa hata kuvaa code nzuri, kulavizur kisa dem daah huw nawashangaa sana