vanny love
New Member
- Jun 22, 2016
- 3
- 10
hamia kwangu dear, hauta juta kamwe mamito, ila nitumie picha ya dada yako nisije kurudia kosa.Nampenda sana uyu mpz wangu ila anachonifanyia ni kibaya na cha aibu nimegundua anatembea na dada angu na anajua kabisa ni dada angu ila dada hajui kama ni mpz wangu nimechanganyikiwa naumia mno wanaume nimewachukia sana
hahahahahahhahahamia kwangu dear, hauta juta kamwe mamito, ila nitumie picha ya dada yako nisije kurudia kosa.
Yes ....inakeraKuna watu wanajibu kinafiki humu sababu haijawakuta. Ungekuwa wewe au ndg yako kafanyiwa hvo ndo ungesikilizia.