Mwanaume huyoo kapita!

Kuwa mimi sio mume wa Mama mkwe wangu, kauli hiyo sitaichukulia uzito wowote, kama mke wangu ndiye angesema hivyo, baadaye ningemwuliza alikuwa na maana gani. Lakini kwa kuwa kasema mama mkwe, nitajua atakuwa ameteleza tu, alipaswa kumwambia hivyo mume wake yaani Baba mkwe wangu.
 
Uko na mkeo na mama mkwe wako kwenye gari yako aina ya Vitz, ghafla inawapita Range Rover Sport 2012 kwa speed.

Mama mkwe wako anajikuta karopoka, "MWANAUME HUYO KAPITA".

Je, kama ni wewe ungefanyaje?

NB: Nimecopy somewhere!

Unamwabia aende akaolewe naye!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…