IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,033
Mwanamke ameumbwa kuongozwa na mwanaume katika kila kitu.
Sasa pesa ndio kiungo muhimu cha maendeleo na uleta amani katika nyumba.
Hivyo hakikisha mwanamke anakuwa na kipato kidogo kuliko wewe mwanaume.
Na km anafanya biashara hakikisha we mwanaume unakuwa main controller wa biashara.
Husithubutu kumuachia aendeshe biashara kubwa peke yake hakikisha we unahusika kuaagiza mzigo,kujua kila kitu kichoendelea.
Ukiruhusu mwanamke amiliki biashara kubwa kwa 70+ ni tatizo na litakusumbua sana.
Mwanamke akiwa na kipato kikubwa ndani ya nyumba atakusumbua.
1.utakuwa na inferior complex hata kam aonyeshi dharau.
2.wanawake kwa namna walivyoubwa atakudharau.