Mwanaume hupendi haya inakuaje!!

Mwanaume hupendi haya inakuaje!!

hebu panda kitandani tulale LOL!!!!!!!!!!

ila kila weekend kwenda East African Melody uacheee
Kanikera huyo kugawa hobi kijinsia..... Hawa ndo wale akisikia nesi basi anajuwa ni mwanamke..... akisikia sekretari basi mwanamke, akisiki futibola, basi mwanaume..... akisikia dereva basi mwanaume, akisikia .... akisikia....

Wewe una matatizo! Binafsi sipendi hiphop but bolingo na nyimbo nyingne za dance!! Sipendi football na basketball ila napenda mbio za magari na pikipiki so mdogo wangu haiwezekani kila mtu akawa na interest kama zako!! Upo?
hi folks here
nashangaa some men hawapendi football or basketball, hawapend hip hop wao zao taarabu tu! draft ndo kabsa! hv inakuaje inakua man hapend hvo vitu na huwa wanajifeel aje? share me your experience if ur among of them.
your cousin
 
Anza kubonyeza mie nakuja kusaidia

(Ngoja niwe siriazi na kitufe)

Hivi kitufe chetu kiko wapi tena? CC Kongosho, hawajastuka ni mikwaju 12 na kuongezewa bakora 20 MPAKA (Sio huo mweusi hapo juu wajameni! lol!) Kieleweke!
 
binafsi uwezi kunikuta na cheza drafft spendi afu naona mchezo wa mizinguo na ukuda mwingi,kwa wasio na kazi,2,sio big fan wa footbal yani niache kulala na mke wangu nikishe naangalia mpira hadi saa tisa sifanyi kazi hiyo,hip hop kwani ndo mziki wa wanaume mbona kina queen latifa,da brat,eve e,na mademu wengi tu wanaimba.....ila mchezo ninao upenda most ni karetikaa nikisha toka dojo nakuwa so tired
 
hi folks here
nashangaa some men hawapendi football or basketball, hawapend hip hop wao zao taarabu tu! draft ndo kabsa! hv inakuaje inakua man hapend hvo vitu na huwa wanajifeel aje? share me your experience if ur among of them.
your cousin

Kwani wewe unavyopenda hivyo una feelw aje!?
 
binafsi uwezi kunikuta na cheza drafft spendi afu naona mchezo wa mizinguo na ukuda mwingi,kwa wasio na kazi,2,sio big fan wa footbal yani niache kulala na mke wangu nikishe naangalia mpira hadi saa tisa sifanyi kazi hiyo,hip hop kwani ndo mziki wa wanaume mbona kina queen latifa,da brat,eve e,na mademu wengi tu wanaimba.....ila mchezo ninao upenda most ni karetikaa nikisha toka dojo nakuwa so tired

Mwanangu dojo lenu liko pande zp!!? na mimi nije kujikumbusha enzi zangu napiga mawashi geri sitini kwa dakika....
 
tuko buguruni shuleni.....ulizia cleo

Mkuu ni ndani ya shule ya Msingi Buguruni!? kama ni hapo ntakuja mtu wangu, ndo mitaa yangu hiyo, yupo mdogo wangu mlinzi hapo getini mzee Mzala... naku pm ndugu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom