Mwanaume hupendi haya inakuaje!!

Mwanaume hupendi haya inakuaje!!

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,023
Reaction score
13,370
hi folks here.

nashangaa some men hawapendi football or basketball, hawapend hip hop wao zao taarabu tu! draft ndo kabsa! hv inakuaje inakua man hapend hvo vitu na huwa wanajifeel aje? share me your experience if ur among of them.

your cousin
 
Huyo paka mbona ana sura kama ya mtu?

hio ndio new effect kwa wanaume wanaokaa kuwasema wenzao!!!

yani mtoto wa kiume afadhali hata ya dada yake!! maneno pe pe pe pe kama radi!!

du!! hii ni BRN!
 
Hivi kitufe chetu kiko wapi tena? CC Kongosho, hawajastuka ni mikwaju 12 na kuongezewa bakora 20 MPAKA (Sio huo mweusi hapo juu wajameni! lol!) Kieleweke!
 
Last edited by a moderator:
hi folks here
nashangaa some men hawapendi football or basketball, hawapend hip hop wao zao taarabu tu! draft ndo kabsa! hv inakuaje inakua man hapend hvo vitu na huwa wanajifeel aje? share me your experience if ur among of them.
your cousin

Tatizo lako ni ulimbukeni. unafikiri hobby pekee duniani ni soccer na basketball au kucheza draft na pooltable.

kuna mambo mengi ya kupenda duniani zaidi ya hayo.

na kwa taarifa yako watu wanaosikiliza muziki wa taratibu wana fikra sharp kuliko wanaosikiliza sana hiphop..
 
hi folks here
nashangaa some men hawapendi football or basketball, hawapend hip hop wao zao taarabu tu! draft ndo kabsa! hv inakuaje inakua man hapend hvo vitu na huwa wanajifeel aje? share me your experience if ur among of them.
your cousin

Hivi ushawahi khudhuria taarabu ww?????!!!!! Nakuhakikishia siku ukienda utaanza kuhudhuria hadi mazoezi.

Kuhusu wanajiskiaje hata wao wanawashangaa nyie hv kweli mnaangalia mpira mpaka sa saba usiku mnaacha kwenda kwenye taarab!!!!!!!

Note: kwenye taarab furaha ni guaranteed tofauti na kwenye soccer haya juzi tumefungwa 4:1 na hapa bongo tukapigwa 3:2
 
Mi soccer sio issu,niwekee kikapu hapo silali. Unaweza kuta nimeshapaa nadunk kwenye tv.
Kuhusu taarabu, dah yaani hata sitakagi nisikie kabisa.
Nikisikia hip hop hapo patamu, tena zile za ukweli sio wabana pua wa kibongo, japo siku hizi hta usa wapo. Kitu kama money power respect kutoka the lox silali.
 
Hivi kitufe chetu kiko wapi tena? CC Kongosho, hawajastuka ni mikwaju 12 na kuongezewa bakora 20 MPAKA (Sio huo mweusi hapo juu wajameni! lol!) Kieleweke!

afu unajua sijakuelewa!!!

au kwa vile niko mwenyewe over 6/6 ?
 
Hakuna madisco matamu km ya taarab...mamen wachacheee madem kibao na wakali kinyama nyuma wameshona ile mbaya yani utachezea mpk uchemshe mwenyewe.....
Sipendi taarab napenda madisco ya taarab
 
hi folks here
nashangaa some men hawapendi football or basketball, hawapend hip hop wao zao taarabu tu! draft ndo kabsa! hv inakuaje inakua man hapend hvo vitu na huwa wanajifeel aje? share me your experience if ur among of them.
your cousin
Hivi unategemea Mzee Yusuf apende nini..??? Acheni kupenda vitu kwa mazoea au kukariri... Penda kitu roho inapenda ilimradi huvunji sheria ya nchi...

By the way, Esther Chaburuma anapenda footbal, what is your opinion..??
 
hebu panda kitandani tulale LOL!!!!!!!!!!

ila kila weekend kwenda East African Melody uacheee
 
Hakuna madisco matamu km ya taarab...mamen wachacheee madem kibao na wakali kinyama nyuma wameshona ile mbaya yani utachezea mpk uchemshe mwenyewe
Sipendi taarab napenda madisco ya taarab

i like it ma cousin!
 
Hivi unategemea Mzee Yusuf apende nini..??? Acheni kupenda vitu kwa mazoea au kukariri... Penda kitu roho inapenda ilimradi huvunji sheria ya nchi...

By the way, Esther Chaburuma anapenda footbal, what is your opinion..??

Hapo sasa naona amesahau kwamba akipendacho yeye ni kero kwa mwingine and vise versa...
 
Hapo sasa naona amesahau kwamba akipendacho yeye ni kero kwa mwingine
sijasahau. point yangu ni kupata uzoefu kuhusu wale wasiopenda interest zangu. dulah moko kasema anapenda taarabu b'coz ya wadada wenye inye
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom