Mwanaume haruhusiwi kufanya jambo hili

Mwanaume haruhusiwi kufanya jambo hili

Author

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
1,745
Reaction score
8,230
Habari wadau, moja kwa moja kwenye mada, kuna mambo mengi ambayo mwanaume haruhusiwi kufanya kutokana na taratibu za kabila, dini, familia, maumbile au jamii aliyopo.

Moja kati ya mambo ambayo hayaruhusiwi ni kulala bila nguo (yaani kama alivyozaliwa) hata baada ya kushiriki tendo na mwenza wake. Hii ni kwasababu ya vitu mbalimbali;

1. Mwanaume anapaswa kuwa mlinzi wa familia hivyo chochote kitakachotokea ambacho kinahatarisha usalama wa familia anapaswa kuwa wakwanza kutoka ili kuangalia au kubambana. Hivyo anapaswa kuwa tayari nyakati zote kwani anaweza asiwe na muda wa kujisitiri.

2. Kunapotokea hatari kwa jirani mfano hatari ya moto au kuvamiwa na mnyama mwanaume anapaswa kujumuika na wenzake ili kupambana katika kuzima moto au kumpambana na myama huyo hivyo anapaswa kuwa tayari.

3. Aibu aliyonayo mwanaume humfanya asiwe na amani ya kulala bila nguo (hata na boxer tu).

Mdau unadhani mambo gani mengine ambayo mwanaume haruhusiwi/ hapaswi kufanya kwa mtazamo wako?

Wadada/wanawake muwe huru kuchangia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume wa Kweli mwiko kutelekeza Mimba au Mtoto.
Mwanaume wa kweli mwiko kumlilia au kuumia kisa mwanamke.
Mwanaume halisi uwe angalau na ke 2.
Mwanaume wa Kweli mwiko kudharirishwa mbele ya familia yako.
Mwanaume wa kweli mwiko kupiga Vipicha vya selfie na kurembua macho na kulamba midomo hii ni dalili ya ushoga.
Mwanaume wa kweli Hawezi kulala Ukweni hata kwa bahati mbaya.
Mwanaume wa kweli mwiko kukopa ukweni hasa baba au mama mkwe hii ni fedhea.
Mwanaume wa kweli hatoi chozi mbele ya Mke na watoto wake.
Mwanaume wa kweli hapigi mkewe makonde au mateke, uzidiwa ni vibao tuuuuuuu si vinginevyo.
Mwanaume wa kweli hakosi Bastora, Upinde, panga au Sime ndani.
Mwisho MWANAUME WA KWELI HATAKIWI KUKOSA PESA YA KUMUDU MAISHA YAKE.
 
Umenena vyema @mmteule

Similar Discussions

Back
Top Bottom