Edson acha tu mambo haya nitakwambia tukionana
NGOJA NIJARIBU KUSAIDIA KABLA HATUJAKUTANA
mwanaume kununa kunatokana na sababu nyingi ambazo zinaweza kukuumiza sana hasa ukizingatia kuwa jambo lenyewe linazungumzika....lakini kama mwenzi wako hataki kushaurika au hata akishaurika anabadilika kwa mda kisha akikwazika anarudi kule kule hii itakuletea shida sana baadae maana taratibu utaanza kudevelop tabia zenye muonekani hasi kwake maana madhara yake yatakuwa yameingia sana na kukusumbua akilini....mojawapo ya matatiozo ni yale ya kisaikolojia kama yafuatayo:
1 Insomnia.....kwa kuwa mwenzi wako ni mtu wa kununa na habadiriki kitabisa itakusababishia wewe kuwa unakosa usiku usingizi...kichwani yatakuja maswali meeeengi bila majibu yanakuja na kutoka hadi inafikia alfajiri saa kumi au kumi na moja ndo unapata usingizi lakini kabla hujalala vizuri kumekuccha na itabidi uende job na hatime ufanisi wa kazi hushuka..hali hii taratibu itakufanya kama ikiendelea kwa mda mrefu itafika mahali utamchukia mwenzi wako na kumuona kama mtu aliyekupotezea mda na anakutesa bila chuki..
2 Bulimia...hali hii ni pale msongo wa mawazo unapokuwa mkubwa katika kutafuta suluhisho la matatizo yanayakukabili inafikia mda unakosa hamu ya kula kabisa...hata ukila mda si mrefu utasikia njaa na mbaya zaidi mnapokuwa na mwenzi wako halafu hamjasuluhisha matatizo halafu mnakula pamoja hakika inaumiza na unaweza kukwepa usikae nae wala kula nae au ukamtegea kula....
3.Stockholm syndrome...hii ni ile hali ya kumchukia mtu lakini huna jinsi ila unaendela kuwa nae...hutawajibika ipasavyo kwa mume wako/mwenzi wako hata ukiwajibika ni kwa shingo upande sana maana hakuna mawasilaino thabiti kati enu ..yaani ni sawa na wewe hapo dena utekwe nyara then mtekaji akujengee mazingira ya kumwanini na kumuona ni mtu asiyena matatizo na watu wakikuuliza..dena vipi mtekaji wako anaweza kukuachia uwe huru? wewe unaweza kusema ni mtu mzuri na hatuna shida tunaishi vizuri.wakati ndani kunawaka mateso hii ndio stokholm syndrome
4.anorexia ...kwa kuwa kwa mda mrfu umetafuta suluhu ya matatizo ya mwezi wako bila mafanikio na huishi kwa raha na amani basi mwili wako utaanza kubadili na hata kupata magonjwa presha, kisukari, madonda ya tumbo nk ...na wakati mweingine usijue chanzo chake ni nini kumbe ni hayo matatizo...na mwisho mtu hufa kifo cha huruma (eutanesia death)
dena dada yangu mwili mmoja hauji kwa kusimama mbele ya shehe au padre na akitamka kuwa ninyi ni mwili mmoja ule mwili huwa hauji mble ya watumishi wa mungu..ili kuufikia mwili mmoja ni process ndefu sana inaanza kabla ya uchumba na inakamilika baada ya miaka mingi huko mbele mkiwa ndani ya ndoa.....dena jaribu na endelea kuutafuta mwili mmoja dada...
katika hii shida iliyokukumba nakushauri kaa na huyo mwenza wako muulize kwa utaratibu natafuta suluhu ya kudumu kabisa ili tatizo hili liishe....maana asili ya matatizo haya kama yasipopatiwa tiba mapema huchukua mda mrefu kuisha lakini hata yakiisha huwa yanaacha maovu na wakti mwingine kuvunjia kwa uhusiano.....mengine umesema tukikutana tutaongea laki kumbuka mambo matatu yanayovunja uhusiano ni :
a: mawasiliano
b: pesa
c: mapenzi
hilo kwanza ndilo linalokusumbueni wewe na mwenza wako